Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi za Ulaya wanajenga nyumba kwa kutumia mbao kutokana na mbao zinasaidia kukinga baridi isiweze kuingia ndani kipindi cha baridi kali tofauti na kujenga nyumba za matofali. Halafu kwao gharama za kujnga nyumba ya mbao ni rahisi kuliko kujenga nyumba ya matofali.Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.
Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana.
Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa uzio wa zege na machuma, ati ndio maisha ya kisasa!
Kila mwenye hela lazima ajenge liukuta refu na mazege juu. Na siku hizi wamejikita kujenga MISAUZI basi unakuta jumba refuu lina manondo kama yote.
Mwanzoni nilijua ni swala la kiusalama kumbe la hasha. Ukienda Ulaya na Marekani kuna matishio makubwa zaidi tena ya silaha za moto.
Tanganyika wala hakuna tishio lolote zaidi ya vipanya vichache ambavyo vinashughulikiwa kikamilifu.
Sasa yale makuta marefu na mageti ya chuma huko Tanganyika ni USHAMBA au hofu ya kisichojulikana?
Wachungaji, mitume wa kibongo ,pamoja na upako wote walionao bado Wana lala ndani ya geti.
mashekh Wote Wana lala nda ya geti, japo wanajua kusoma albadili.
Tz kisiwa cha amani
Hata Rais anayesema Nchi ni kisiwa cha Amani, amezungukwa na manyamera wamebeba pipe ziko onlineHata viongozi wa majeshi wana walinzi na silaha lakini na wao wanaishi ndani ya geti😂😂
Ni nje ya mada ila kwa kuwa umetaja ntahighlight, dua ya ahlul-badri ni ushirikina na hakuna mafunzo ya uislamu yanayoelekeza jambo hilo, ni vyema hao wenye kufanya hivyo ukawaita ni wavaa kanzu wanaosoma dua ya ahlul-badri, ila uislamu uko mbali kabisa na mambo hayo.Wachungaji, mitume wa kibongo ,pamoja na upako wote walionao bado Wana lala ndani ya geti.
mashekh Wote Wana lala nda ya geti, japo wanajua kusoma albadili.
Tz kisiwa cha amani
Bila fence unalazimika kukaa ndani tu maana ukitoka nje kila anaepita anashangaa kama unaonesha ligi kuu😅Nilipojenga fensi na kuweka geti ndio niliona sasa raha ya kuishi kwangu ,kibongo bongo nyumba bila fensi ni sawa na unalala nje
Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.
Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana.
Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa uzio wa zege na machuma, ati ndio maisha ya kisasa!
Kila mwenye hela lazima ajenge liukuta refu na mazege juu. Na siku hizi wamejikita kujenga MISAUZI basi unakuta jumba refuu lina manondo kama yote.
Mwanzoni nilijua ni swala la kiusalama kumbe la hasha. Ukienda Ulaya na Marekani kuna matishio makubwa zaidi tena ya silaha za moto.
Tanganyika wala hakuna tishio lolote zaidi ya vipanya vichache ambavyo vinashughulikiwa kikamilifu.
Sasa yale makuta marefu na mageti ya chuma huko Tanganyika ni USHAMBA au hofu ya kisichojulikana?
Hapo ukuta ukiwa mfupi,wewe hushindwi kuchomoka na tairi la ka IST kake. Huko ulaya na marekank nani ana shida hiyo? Afuge bata tu,anakesha mtaani kuwatafuta,kumbe mmeshawanyonyoa na manyoa mpaka mpande gari kuyatupa kwingine,isijulikane mliwaiba mkawala.🤣🤣🤣🤣🤣NI USHAMBA WA KUTUPWA KWA WATANGANYIKA, WALA SIO KUA NA HELA.
-yaani unakuta mtu amejenga ukuta mkubwa kama anazuia utoroshaji madini ya tanzanite
-yaani bank fensi zao fupi fupi no bwembwe, pita sasa nyumbani kwa mwalimu wa biology unajiuliza hawa watanganyika nani amewaroga
-ushamba ushamba ndani ya mageti ndiko wanakozalisha watoto mashoga tv mda wote ndani huko
-fenci jenga ndogo tu hata ue unawaona majirani sio fensi kubwa kama upo jela buana
-fensi sio ulinzi ni ubinafsi wa kishamba hio hela kamjengee hata ndugu yako banda la mifugo
-fensi kama la jela kwaajili ya kulaza IST,VITS premio,
-ushamba wa kusign nyumba hasa kushindwa kuzingatia maswala ya vyumba vya parking za magari majiko ya ndani nk.
-ukuta mkubwa hufugi hata kuku huna hata mbwa facken kabisa.
Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.
Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana.
Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa uzio wa zege na machuma, ati ndio maisha ya kisasa!
Kila mwenye hela lazima ajenge liukuta refu na mazege juu. Na siku hizi wamejikita kujenga MISAUZI basi unakuta jumba refuu lina manondo kama yote.
Mwanzoni nilijua ni swala la kiusalama kumbe la hasha. Ukienda Ulaya na Marekani kuna matishio makubwa zaidi tena ya silaha za moto.
Tanganyika wala hakuna tishio lolote zaidi ya vipanya vichache ambavyo vinashughulikiwa kikamilifu.
Sasa yale makuta marefu na mageti ya chuma huko Tanganyika ni USHAMBA au hofu ya kisichojulikana?
Wazee wa kazi wataiba mpaka injini kudadadeek!Wewe hujakatazwa kuishi kama Ulaya, jenga nyumba yako ya mbao, Park gari zako tu hata mbili za kutembelea na zisiwe kuuubwa sana audi q7, na ki BMW x5.....na usiwe na wasiwasi
Wabongo ni wazee wakuiga mtu mmoja2 akifanya kitu kijiji kizima lazima kifanye🤣🤣Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.