sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Watu wanapenda kujitoa kwenye matatizo ya mara moja limeisha. Matibabu, ada, chakula ni matatizo endelevu, wengi hawana moyo wa kuyabeba mpaka mwisho.Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia .
Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu watakuja kuomboleza utadhani walikuwa wanamsaidia
hahah... unapenda kutangazwa mkuuTukiwasaidia ktk shida zenu za kimasikini ugonjwa ada au kodi hamtutangazi mkaishia kusifia miungu yenu... Ila tukiwachangia hela ya jeneza na msiba mnatushukuru kwa wema wetu....
Kama hujanielewa subiri ukifa utanielewa
Simple: Kwa sababu ukiumwa ni shida yako ila ukifa ni shida yetu.Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia .
Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu watakuja kuomboleza utadhani walikuwa wanamsaidia
Unaookuwa huna la kuandika ni bora kukaa kimya!Tukiwasaidia ktk shida zenu za kimasikini ugonjwa ada au kodi hamtutangazi mkaishia kusifia miungu yenu... Ila tukiwachangia hela ya jeneza na msiba mnatushukuru kwa wema wetu....
Kama hujanielewa subiri ukifa utanielewa
Haya mtoto mzuri nikupendaye... Soma vizuri ulichokiandikaUnaookuwa huna la kuandika ni bora kukaa kimya!
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwamba ugonjwa ni wake msiba ni wetuSimple: Kwa sababu ukiumwa ni shida yako ila ukifa ni shida yetu.
Kusaidiana jambo jema sana,tatizo linaanzia pale unamasaidia mtu anakuja kukuharibia life lako Kwa njia zingine ndo lilishawafanya watu waacha kabisa kusaidia wengine yalishatutokea hayo,Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia .
Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu watakuja kuomboleza utadhani walikuwa wanamsaidia
Ndiyo boss. umenipataKwamba ugonjwa ni wake msiba ni wetu