Kwanini Watanzania wengi sana wanachanganya L na R?

Unapataga?!! Na hili ni tatizo kubwa.
Unaendaga.
Unukujaga.
Unalalaga.
Unakulaga.
..........
............
😃😃😃kiswahili kitarafa hicho mkuu tunatembea humo humo hatuuvuki mtari, au siyo?
 
Nilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa siamini, ila tangu nianze kufuatilia comments za Watanzania nimegundua ni kweli. Watu wengi sana hawajui wapi watumie L na wapi watumie R

Leo nimekuta comment mtu anasema "Balabala yenyewe hamjapiga lami hata lobo"
Mtu anaandika Laisi, hajaludi, razima, rafudhi, rugha, talumbeta, kuhalibika, tayali, langi, balabala, lobo, rakini, harafu, lafiki nk
View attachment 3703193View attachment 3703194
Hili kosa ni la miaka nenda rudi katika lugha ya Kiswahili kwa sababu za athari za lugha mama. Kwa mfano, Wakurya wanatumia sana R hata kwa neno linalohitaji L na Wasukuma wanatumia sana L hata sehemu ya R.

Tatizo jipya linalokua kwa kasi miongoni mwa watumiaji wa lugha ya Kiswahili hadi wasomi ni kutokujua herufi/sauti sahihi za baadhi maneno ya Kiswahili au kufanya makusudi! Ingawa nimeona wengi hawajui wanachokifanya.

Kwa mfano, baadhi ya watumiaji kwa sasa wameondoa au kuchanganya matumizi ya baadhi ya herufi (sauti) mfano "h" na "w". Kwa mfano husema:
"aina shida" badala ya "haina shida"
"ote" badala ya "wote"
"akuja" badala ya "hakuja"
"ajaja" badala ya "hajaja"
"hasingekuja" badala ya "asingekuja"

Wanazidiwa hadi na AI inajitahidi kuandika na kutamka Kiswahili fasaha kwa sasa.
 
Yani kuna muda ukisoma mwandiko wa mtu unajiuliza huyu anatumia uwezo gani kwenye kufikiri, mtu anajikujibu "apana, ayupo", haya basi tuseme ulimi una shida ya matamshi, hata kuandika nayo ni shida?

Nimekaa na mtu wa Kilimanjaro, ananisemesha namna hiyo, nilisikitkka sana, mchaga/mpare anachanganya vipi L na R? Low IQ hakuna kingine..
 
Nilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa siamini, ila tangu nianze kufuatilia comments za Watanzania nimegundua ni kweli. Watu wengi sana hawajui wapi watumie L na wapi watumie R

Leo nimekuta comment mtu anasema "Balabala yenyewe hamjapiga lami hata lobo"
Mtu anaandika Laisi, hajaludi, razima, rafudhi, rugha, talumbeta, kuhalibika, tayali, langi, balabala, lobo, rakini, harafu, lafiki nk
View attachment 3703193View attachment 3703194
TOKA MAKTABA :

24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM :FIRE:

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Assani kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

Pascrates Albinus Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM hakiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi hikulu mwezi Febluali 2022 ...

Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuhu ao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuhu tuna fulaha sana ... kwa lehema ii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatiha mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship.... alikamilisha hotuba yake kigogo huyo wa UVCCM

Kutokana na hilo, Wanafunzi wa vyuo elimu ya juu na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam walio wanachama wa UVCCM wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma Pia:
 
Hili tatizo limeanzia miaka ya 1990 kuja juu nadhani kutokana na walimu wa UPE waliokuwa hawana weledi pamoja na elimu ya ufundishaji kuwa duni.

Zamani enzi zetu ilikuwa hauwezi kukuta mwanafunzi shuleni kwenye somo la kiswahili/kingereza akaweza kukojolea sarufi katika kutunga sentensi.

Maana mboko utakazolambwa kwa kosa hilo, huwezi kamwe kusahau na kurudia kosa.
Hapana mimi nimesoma miaka ya 90 na sijawahi kuchanganya herufi na hata niliosoma nao sijawahi kuona wanachanganya herufi labda wachache sana ambao walikuwa hawaingii darasani wanaishia Nyara kwenye mikorosho.
Hilo tatizo lilianzia baada ya kuanzishwa shule za kata.
Huwezi amini wako vijana wamesoma hadi chuo kikuu na hawawezi kunyoosha maneno ya kiswahili vizuri.
 
Vile tunavyowatania maafande:

"Haroo unareta mchezo na jeshi ra porisi?"

"Unaichezea serikari?"

"Rara chini"

"Kwa kosa ra kutotii amri harari nakupereka kituoni"
 
Watanzania wengi???? Ebu acha kuchanganya mambo! Wanaochanganya L & R ni watu wa Kanda ya ziwa,Dar es salaam na sehemu za pwani.
 
Nilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa siamini, ila tangu nianze kufuatilia comments za Watanzania nimegundua ni kweli. Watu wengi sana hawajui wapi watumie L na wapi watumie R

Leo nimekuta comment mtu anasema "Balabala yenyewe hamjapiga lami hata lobo"
Mtu anaandika Laisi, hajaludi, razima, rafudhi, rugha, talumbeta, kuhalibika, tayali, langi, balabala, lobo, rakini,

Nilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa siamini, ila tangu nianze kufuatilia comments za Watanzania nimegundua ni kweli. Watu wengi sana hawajui wapi watumie L na wapi watumie R

Leo nimekuta comment mtu anasema "Balabala yenyewe hamjapiga lami hata lobo"
Mtu anaandika Laisi, hajaludi, razima, rafudhi, rugha, talumbeta, kuhalibika, tayali, langi, balabala, lobo, rakini, harafu, lafiki nk
View attachment 3703193View attachment 3703194
Kuna upungufu mkubwa wa Walimu wakiswahili, imagine kijana anaandika ela badala ya hela
 
L,R,S,TH,DH,K,Q kwenye mtu azungumzapo kwa sauti hua haileti tofauti na huwezi KUONA TOFAUTI MTU AKIZUNGUMZA pia tukumbuke watu wengi huandika wanachokizungumza
 
Hapana mimi nimesoma miaka ya 90 na sijawahi kuchanganya herufi na hata niliosoma nao sijawahi kuona wanachanganya herufi labda wachache sana ambao walikuwa hawaingii darasani wanaishia Nyara kwenye mikorosho.
Hilo tatizo lilianzia baada ya kuanzishwa shule za kata.
Huwezi amini wako vijana wamesoma hadi chuo kikuu na hawawezi kunyoosha maneno ya kiswahili vizuri.
Mkuu kuna kazi sana...
 
Pia kumbuka watanzania wapo wa jamii tofauti na utofauti wao huleta tofauti ya matamshi kwa jamii moja na nyingine mf WACHAGA,WABENA,WALUGURU hutumia sana R badala ya L na watu wa PWANI hutumia sana L badala ya R
 
Back
Top Bottom