Unapataga?!! Na hili ni tatizo kubwa.Nikadhani unapataga hamu ya hisia mkuu!
Maana kuna watu huhemkwa wakikutana na wadhaifu, wao huita 'mnyonge wangu'ππππ.
πππkiswahili kitarafa hicho mkuu tunatembea humo humo hatuuvuki mtari, au siyo?Unapataga?!! Na hili ni tatizo kubwa.
Unaendaga.
Unukujaga.
Unalalaga.
Unakulaga.
..........
............
nchi imejaa mazwazwa hayajui hata kuandika wala kusomaHilo tatizo sasa limeshakuwa kama ulemavu wa ulimi na ubongo, nafikiri IQ pamoja na kujua lugha kwa sasa viko chini sana Tanzania
Hili kosa ni la miaka nenda rudi katika lugha ya Kiswahili kwa sababu za athari za lugha mama. Kwa mfano, Wakurya wanatumia sana R hata kwa neno linalohitaji L na Wasukuma wanatumia sana L hata sehemu ya R.Nilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa siamini, ila tangu nianze kufuatilia comments za Watanzania nimegundua ni kweli. Watu wengi sana hawajui wapi watumie L na wapi watumie R
Leo nimekuta comment mtu anasema "Balabala yenyewe hamjapiga lami hata lobo"
Mtu anaandika Laisi, hajaludi, razima, rafudhi, rugha, talumbeta, kuhalibika, tayali, langi, balabala, lobo, rakini, harafu, lafiki nk
View attachment 3703193View attachment 3703194
Yani kuna muda ukisoma mwandiko wa mtu unajiuliza huyu anatumia uwezo gani kwenye kufikiri, mtu anajikujibu "apana, ayupo", haya basi tuseme ulimi una shida ya matamshi, hata kuandika nayo ni shida?Hili kosa ni la miaka nenda rudi katika lugha ya Kiswahili kwa sababu za athari za lugha mama. Kwa mfano, Wakurya wanatumia sana R hata kwa neno linalohitaji L na Wasukuma wanatumia sana L hata sehemu ya R.
Tatizo jipya linalokua kwa kasi miongoni mwa watumiaji wa lugha ya Kiswahili hadi wasomi ni kutokujua herufi/sauti sahihi za baadhi maneno ya Kiswahili au kufanya makusudi! Ingawa nimeona wengi hawajui wanachokifanya.
Kwa mfano, baadhi ya watumiaji kwa sasa wameondoa au kuchanganya matumizi ya baadhi ya herufi (sauti) mfano "h" na "w". Kwa mfano husema:
"aina shida" badala ya "haina shida"
"ote" badala ya "wote"
"akuja" badala ya "hakuja"
"ajaja" badala ya "hajaja"
"hasingekuja" badala ya "asingekuja"
Wanazidiwa hadi na AI inajitahidi kuandika na kutamka Kiswahili fasaha kwa sasa.
TOKA MAKTABA :Nilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa siamini, ila tangu nianze kufuatilia comments za Watanzania nimegundua ni kweli. Watu wengi sana hawajui wapi watumie L na wapi watumie R
Leo nimekuta comment mtu anasema "Balabala yenyewe hamjapiga lami hata lobo"
Mtu anaandika Laisi, hajaludi, razima, rafudhi, rugha, talumbeta, kuhalibika, tayali, langi, balabala, lobo, rakini, harafu, lafiki nk
View attachment 3703193View attachment 3703194
Samani na ThamaniRiziki na ridhiki
Sahihi hapo ni ipi?Halafu na alafu
Upo na hupo
Hapana mimi nimesoma miaka ya 90 na sijawahi kuchanganya herufi na hata niliosoma nao sijawahi kuona wanachanganya herufi labda wachache sana ambao walikuwa hawaingii darasani wanaishia Nyara kwenye mikorosho.Hili tatizo limeanzia miaka ya 1990 kuja juu nadhani kutokana na walimu wa UPE waliokuwa hawana weledi pamoja na elimu ya ufundishaji kuwa duni.
Zamani enzi zetu ilikuwa hauwezi kukuta mwanafunzi shuleni kwenye somo la kiswahili/kingereza akaweza kukojolea sarufi katika kutunga sentensi.
Maana mboko utakazolambwa kwa kosa hilo, huwezi kamwe kusahau na kurudia kosa.
Nilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa siamini, ila tangu nianze kufuatilia comments za Watanzania nimegundua ni kweli. Watu wengi sana hawajui wapi watumie L na wapi watumie R
Leo nimekuta comment mtu anasema "Balabala yenyewe hamjapiga lami hata lobo"
Mtu anaandika Laisi, hajaludi, razima, rafudhi, rugha, talumbeta, kuhalibika, tayali, langi, balabala, lobo, rakini,
Kuna upungufu mkubwa wa Walimu wakiswahili, imagine kijana anaandika ela badala ya helaNilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa siamini, ila tangu nianze kufuatilia comments za Watanzania nimegundua ni kweli. Watu wengi sana hawajui wapi watumie L na wapi watumie R
Leo nimekuta comment mtu anasema "Balabala yenyewe hamjapiga lami hata lobo"
Mtu anaandika Laisi, hajaludi, razima, rafudhi, rugha, talumbeta, kuhalibika, tayali, langi, balabala, lobo, rakini, harafu, lafiki nk
View attachment 3703193View attachment 3703194
Mkuu kuna kazi sana...Hapana mimi nimesoma miaka ya 90 na sijawahi kuchanganya herufi na hata niliosoma nao sijawahi kuona wanachanganya herufi labda wachache sana ambao walikuwa hawaingii darasani wanaishia Nyara kwenye mikorosho.
Hilo tatizo lilianzia baada ya kuanzishwa shule za kata.
Huwezi amini wako vijana wamesoma hadi chuo kikuu na hawawezi kunyoosha maneno ya kiswahili vizuri.
π€£π€£π€£π€£π€£Madhara ya ugali haya.