Kwanini Watanzania wengi wanaenda Uganda (Makerere University) Kusoma?

Kwanini Watanzania wengi wanaenda Uganda (Makerere University) Kusoma?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Leo Mr. Chromium nina Swali kwa Watanzania.

Naandika sana maswala ya Geopolitics leo tuongelee maswala ya kijamii.

Kwanini Watz wengi wanaenda kujiendeleza Uganda hasa Makelele University? Je, vyuo vya Tanzania elimu mbovu au Gharama au Vina masharti magumu?

Nasoma majibu
 
Kichwa cha habari cha uzi wako kinaonesha usivyostahili kujibiwa swali hilo. Hujui hata tofauti ya Makerere na makelele. Pili, wewe umefanya utafiti upi kufikia swali hilo? Tatu, unataka kutuaminisha kusoma vyuo vya nje ni kwa sababu vyuo vya kwetu hovyo? Huo ni ujima!
 
Kichwa cha habari cha uzi wako kinaonyesha usivyostahili kujibiwa swali hilo. Hujui hata tofauti ya Makerere na makelele. Pili, wewe umefanya utafiti upi kufikia swali hilo? Tatu, unataka kutuaminisha kusoma vyuo vya nje ni kwa sababu vyuo vya kwetu hovyo? Huo ni ujima!
Mkuu acha ujuha. Hamna swali la kijinga ila kuna majibu ya hovyo!

Ukielewa umeelewa
 
Ubora wa elimu aisee, nilipata bahati ya kuchagua kati ya Bongo na UG

Kwa kujikuta mzalendo na kuwaza kuhusiana na kupata kazi nikachagua kusoma chuo bongo

Nilichokutana nacho kwenye masomo mbona nilijuta

Unakuta course ina jina konki na course outline imesheheni madini, lakini unachokuja kufundishwa mpaka unashangaa mwalimu anarashia rashia tu vile kasoma baba yako zama hizo ila desa mpaka leo

Halafu repetition kama zote, semester ya kwanza somo hilo hilo, ya pili hilo hilo pia ila inapewa jina la advanced, na hakuna cha ziada zaidi ya kuongezewa assignments

Wakati kitu ni kile kile

Dah bora ningeenda huko nje ya nchi
 
Ubora wa elimu aisee, nilipata bahati ya kuchagua kati ya Bongo na UG

Kwa kujikita mzalendo na kuwanza kuhusiana na kazi nikachagua kusoma chuo bongo

Nilichokutana nacho kwenye masomo mboni nilijuta

Unakuta course ina jina konki na course outline imesheheni madini, lakini unachokuja kufundishwa mpaka unashangaa mwalimu anarashia rashia tu

Halafu repetition kama zote, semester ya kwanza somo hilo hilo, ya pili hilo hilo pia ila inapewa jina la advanced

Wakati kitu ni kile kile

Dah bora ningeenda huko nje ya nchi
Umejilinganisha na waliosoma nje
 
Back
Top Bottom