Kwanini Watanzania wengi wanaenda Uganda (Makerere University) Kusoma?

Kwanini Watanzania wengi wanaenda Uganda (Makerere University) Kusoma?

Kiufupi Tanzania hakuna elimu Bali kunamakapi ya elimu.Ndiyo maana watu wanaokaa mipakani kama kule tarime na Tanga wengi wao wanasoma Kenya kuanzia shule ya msingi.Hivyo Hivyo na watu wa bukoba husoma Uganda kuanzia shule ya msingi na chuo.Hata watu wenye pesa au hata viongozi wetu huwezi kumwona mwanae anahangaika na vi vyuo uchwara vya hapa nyumbani.Mfumo wetu wa elimu ni wa hovyo hasa kwenye lugha ya kufundishia inawafanya wtz wawe nyuma Kila kitu.
 
duuuh kwaiyo Tatizo ni kiswahili au tatizo ni Quality ya elimu?
 
Ubora wa elimu aisee, nilipata bahati ya kuchagua kati ya Bongo na UG

Kwa kujikuta mzalendo na kuwaza kuhusiana na kupata kazi nikachagua kusoma chuo bongo

Nilichokutana nacho kwenye masomo mbona nilijuta

Unakuta course ina jina konki na course outline imesheheni madini, lakini unachokuja kufundishwa mpaka unashangaa mwalimu anarashia rashia tu vile kasoma baba yako zama hizo ila desa mpaka leo

Halafu repetition kama zote, semester ya kwanza somo hilo hilo, ya pili hilo hilo pia ila inapewa jina la advanced, na hakuna cha ziada zaidi ya kuongezewa assignments

Wakati kitu ni kile kile

Dah bora ningeenda huko nje ya nchi
jipige konzi kwa maamuzi ya kijuha
kusoma tz ni vile watu hawana pesa. wenye pesa wanapeleka nje.
elimu imesihasishwa na kuchezewa. quality control ni sifuri.
 
Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia ni chanzo kikubwa cha ubovu wa elimu. Vyuoni bila lecturer kuelezea tena jambo kwa kiswahili wanaoelewa huwa wachache. Binafsi kiingereza changu kilikuja kunyooka sana nilipoanza kutokatoka nje ya TZ.
 
Ahahh sijajua vizuri kuhusu hilo
Ilikuwepo Wizara ya Elimu ya Juu,Sayansi na Teknolojia na Mzee Mkapa amewahi kuwa Waziri kwenye hiyo Wizara,yenyewe ilikuwa niasimamia Elimu ya Juu tu. Sasa wanasiasa wetu wakaivunja hiyo wizara na kuibebesha mzigo mzito Wizara ya Elimu
 
👍
 
Back
Top Bottom