Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Unaweza ongea kwa statistic mkuuRanked higher than any university in Tanzania and they are good
Mkuu acha ujuha. Hamna swali la kijinga ila kuna majibu ya hovyo!Kichwa cha habari cha uzi wako kinaonyesha usivyostahili kujibiwa swali hilo. Hujui hata tofauti ya Makerere na makelele. Pili, wewe umefanya utafiti upi kufikia swali hilo? Tatu, unataka kutuaminisha kusoma vyuo vya nje ni kwa sababu vyuo vya kwetu hovyo? Huo ni ujima!
Wasomi wa Tanzania hawana musimamu, vyuo havija wabadili.vyuo vya tanzania vinazidi kupoteza mvuto.vimetawalia na mfumo wa kikoloni umjengi mtu kuwa exposure unamjenga mtu kuwa na akili za ccm
Angalia ranks zozote za vyuo bora africaUnaweza ongea kwa statistic mkuu
Aiseevyuo vya tanzania vinazidi kupoteza mvuto.vimetawalia na mfumo wa kikoloni umjengi mtu kuwa exposure unamjenga mtu kuwa na akili za ccm
Makerere kwenye Rank ya dunia ni #804 Wakati yetu ni ya 1501 wametuacha mbali sanaUnaweza ongea kwa statistic mkuu
Yanga tenaMakerere kwenye Rank ya dunia ni #804 Wakati yetu ni ya 1501 wametuacha mbali sana
Wao Tangu 1922 kipo
Ila sisi Yanga ilianza 1935 π
Ahahh sijajua vizuri kuhusu hiloTangu waondoe wizara ya Elimu ya Juu,Sayansi na Teknolojia ndio wakaanza kuua elimu kidogokidogo
πππScientific publication zao ziko 99m na kimo kwenye top 10 ya vyuo vikuu Africa
Sisi wenye PhD wanakunywa juice ya Madagascar
Hao watatufundisha kitu kweli zaidi ya kukariri
Umejilinganisha na waliosoma njeUbora wa elimu aisee, nilipata bahati ya kuchagua kati ya Bongo na UG
Kwa kujikita mzalendo na kuwanza kuhusiana na kazi nikachagua kusoma chuo bongo
Nilichokutana nacho kwenye masomo mboni nilijuta
Unakuta course ina jina konki na course outline imesheheni madini, lakini unachokuja kufundishwa mpaka unashangaa mwalimu anarashia rashia tu
Halafu repetition kama zote, semester ya kwanza somo hilo hilo, ya pili hilo hilo pia ila inapewa jina la advanced
Wakati kitu ni kile kile
Dah bora ningeenda huko nje ya nchi
mmhWasomi wa Tanzania hawana musimamu, vyuo havija wabadili.