Kwanini watanzania wengi wanafurahia kwa kupigwa Hassan Mwakinyo

Nimeangalia mwanzo mwisho , alizidiwa ule ni ufundi mzee ...So ajipange na nilijua round ya Tano afiki.
Mpinzani alikuwa bora sana ila ninapomuaminia mwakinyo ataomba marudiano
 
Mwakinyo ni Bondia bora sana, Wabongo wakiona umefanikiwa sana wanaanza roho mbaya.. Wanamchukia Mwakinyo kwa sababu yuko independent na hajipendekezi kwa yoyote..
 
maneno yake ya kuringa na kujihisi ni wa kipekee, ndicho kinachomfanya wengi wa mabondia wenzake wamchukie
 
Uchawa, rudia maneno ya mwakinyo!
 
Mwakinyo ni Bondia bora sana, Wabongo wakiona umefanikiwa sana wanaanza roho mbaya.. Wanamchukia Mwakinyo kwa sababu yuko independent na hajipendekezi kwa yoyote..
Wabongo wengi ni shthol
Roho mbaya, msimamo wa jamaa ndiyo unawapa shida

Ova
 
Mimi sina baya na bondia wetu kabisa,Kwan kupigw ama ushindi yote ni matokeo pia hakuna asiye anguka katik Dunia hii katik swala la utafutaji.nakutakia kher t mwakinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…