#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

Hoja ni kwamba huko hospitali ndio wanajua uhalisia wa corona ndio nimeuliza mbona huko hakuna masharti kama zamani na wakati huko ndio kwenye wagonjwa wa corona?

Wizara ya afya kila siku inatoa matangazo kwenye TV jinsi ya kujikinga na korona ,kama hospital unazozisema hazichukui tahadhari basi ni uzembe wao,ofisi nyingi tu ukitembelea lazima uwe na barakakoa na wanakupiga na "Santaiza" ndio unaruhusiwa kuingia.

Kama umenote watu wanakata kamba sana kuanzia End of December mpaka Mid April hapo ndipo ugonjwa unafika peak baada ya hapo vifo vinapungua ,hiyo ndio trend ya corona,huu ugonjwa ushaingia hauwezi kuisha bila chanjo na dawa ya kutokomeza kama hazijapatikana.

Wewe endelea kuamini kwamba corona ni propaganda kama mwenzako MEKO alivyosema ni FUTA na kweli likamFUTA kwenye ulimwengu.
 
Nazungumzia hospitali za Muhimbili na Amana.

Hata hicho kipindi unachosema corona inakuwa kwenye peak bado hakukuwa na ulazima wa kuvaa barakoa wala kunawa mikono kwenye hizo hospitali, nayaeleza haya kwa sababu huko ndio mnasema wanajua uhalisia wa corona kwamba wanakutana na hao wagonjwa wa corona hivyo nilitegemea kuwe na tahadhari ya hali ya juu.

Suala la Meko mnalazimisha kuwa kafa kwa corona,nasema mnalazimisha kwa sababu mbatumia hisia zenu hamna sababu zenye za kuelezea kwanini mnasema Meko kafa kwa corona? Mfano Maalim seif nasema kafa kwa corona kwa sababu alikuwa anajulikana anaugua huo ugonjwa na hakupona tukasikia kafariki hivyo ni sababu ya msingi kusema Maalim seif kafariki na corona, sasa wewe ndugu yangu nikikuuliza hapo sababu ya kusema Meko kafa na corona utaniambie kisa alikuwa anaidharau corona.
 

Kuchukua tahadhari kitu kingine na ugonjwa kuwepo kitu kingine........Mwenyekiti wa Madaktari(MAT) amesema ugonjwa upo kwahiyo kujilinda ni jukumu lako ,ukiamua kutoavaa pia haulazimishwi ,ni sawa na kutolala kwenye net ukanda wa pwani ambapo malaria ipo juu hakuna mtu atakayekuja kukulazimisha ulale kwenye net.
 
Multcountries Coperations and criminals are the ones runs the world. Anzia hapo...hii ni massive and huge business so lazima ifanikiwe... Drugs, weapons, technologies and extraction companies ndio vinara wa uchumi na uhalifu duniani... Any kind of obstacle to thier business should be eliminated by any means. Wabongo whether you like or not chanjo haiepukiki. Tupo hapa...
 
Tanzania hatupimi corona na hivyo hakuna takwimu ndio maana nyie mnasema huko hospitali ndio wanajua uhalisia wa corona kwamba wanakutana na hao wagonjwa wa corona, sasa sehemu kama hospitali ni muhimu kuchukua tahadhari wakati wote kutokana mazingira vyao ya kazi hasa kwa ugonjwa kama huu ndio tahadhari ilipaswa izidi.

Sasa sijui huyo Mwenyekiti alisema lini hivyo na huko kutochukua tahadhari kuna maana gani kwao?
 

Watu wanapata ugonjwa mitaani (kama mitaani hawachukui tahadhari haitosaidia wakichukua tahadhari wakienda hospital) ,hospital wanaenda kutibiwa tu ,madaktari wao kama wao wanachukua tahadhari na muda wote wanavaa barakoa ,kuingia ofisi zao nje kuna ndoo na maji hata muhimbili maji yapo na sabuni zipo.

Ile siku kamati ya korona ilipotoa ripoti yake ,Azam wakamuhoji Mwenyekiti wa MAT ,Charles Hillary akamwambia Mbona MAT mpo kimya kuzungumzia ugonjwa wa korona? Akasema kwamba wao hawana mandate ya kutoa taarifa ya hali ya ugonjwa nchini ila walitoa angalizo tu kama madaktari kwamba ugonjwa upo na wananchi wajinkinge.
 
Mkuu labda uwe sio mtu kwenda maeneo ya hizo hospitali ndio hutojua tofauti ya mwanzoni na sasa kwenye kuchukua tahadhari, Kauli ya kusema ugonjwa upo na watu wachukue tahadhari mbona ni kauli ya kiujumla sana na hata kipindi cha Meko tulikuwa tunaambiwa tuchukua tahadhari.
 
Kuna uhakika kabisa kwamba hyo 3% watapona, mana naona hata hizo baadhi ya nchi ambazo tayari watu kadhaa wamechomwa bado kuna vifo na baadhi ya watu wanafariki kutokana na hyo hyo chanjo.
Au ndyo watu wanataka kuendana juhudi za mataifa makubwa.
Ila at least kitu kifanyike kuliko kukaa kimya kabisa.
Chanjo wapewe wahitaji.
 
Tena ni watu wasio na msimamo ni hovyo hovyo tu Mambo yao wanaweza kukuuza mzima mzima na hao watu ogopa sana ndumilakuwili.
 
By the way dawa zote zina side effects zake sasa kama kuna watu hawataki wasilazamisje lakini wajue tu hii policy ya ulimwengu inakwenda hivyo kuna baadhi ya huduma ujue kwamba utakosa kama huna chanjo .Usicheze na serikali ina mkono mkubwa.
 
Mimi kuna kitu kinaitwa Pfezer tayari kipo mwilini mwangu 2doze nishamaliza nipo salama usalimini alhamdulilah Rabbilalamiyn.Tupo salama na maisha yanaendelea sasa wale munaobishana kama mavi ya mzungu yananuka au hayanuki nenda ukayanu ndio utajua ukweli.Bora adui mwerevu kuliko rafiki mjinga.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…