Iachwe, na misukule ya Mbowe ichanjwe??Misukule ya mwendazake ndiyo inakataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iachwe, na misukule ya Mbowe ichanjwe??Misukule ya mwendazake ndiyo inakataa
Uk na Israel wako katika 60% huko sisi Tanzania hatujawahi kuwa serious katika lolote ni siku hizi tu unaona wanavaa mask sababu tu wameambiwa ukweli kiburi cha leo kina gharama zake huko mbele hakuna mtalii atakuja nchi hii ndio maana umesikia tusifiche data haingii akilini nchi yenye watu Million 60 eti Lab moja tu ya kupima. Watu wengi wameumwa huku miili yetu na population yetu kubwa vijana imesaidia huu ugonjwa ungekuwa ni wetu tu hakuna mtu angejali tatizo huu ugonjwa wa dunia unaweza usiumwe wewe lakini mwenzako unamletea shida sio suala la Tz hii ni WHO ni wa dunia. Rais kasema sisi sio kisiwa katika hili. swali lako la mask nchi nyingi ilikuwa kuvaa mask ni lazima public area sababu vaccination imekuwa na mafanikio sheria zinalegezwa. Sisi tujifananishe na Burundi tu katika hili. Leo airport ukifika unapimwa corona unajuwa kwanini? wameambiwa serikali hii jeuri yenu in gharama huko mbeleni. Kiujumla tumesalimu amri.Unazungumzia kuvaa mask kama kielelezo cha kuchanjwa!!!!sisi hatuvai,tumechanjwa lini ndugu yangu??
Unajua israel ni % wamechanjwa!!!UK nako je??
India hawana ufanisi wala Brazil, India ni 2% tu wamechanja na Brazil 10% tu nchi zenye mafanikio makubwa katika chanjo ambazo wako kama 50 to 60 % ni Israel, UK, US, Canada na baadhi ya EU wako 35% na wagonjwa kwa kiasi kikubwa wamepungua au hakuna kabisa husikii tena watu kufa. India walidhani ugonjwa hauko tena wingi wa watu wao 1.2 Billion ni 2 % tu wamechanja sasa hivi ndio wana speed mchakato wa chanjo baada ya majanga haya.swali langu ni moji tu, Na hakuna hata mmoja amenijibu.. ikiwa chanjo ina ufanisi kwanini maambukizi bado yanaendelea duniani especially zile nchi zilizochanja wananchi wake? Mfano India na Brazil.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Siku ileile aliyoanguka mkuu wa makuhani tulimuona ameivaa...!!Alipinga barakoa na sasa anavaa?
Na hakuna anayehoji ubora wala usalama wa hizo chanjo...Mtu anatishia kukataa chanjo ya corona wakati amechanjwa na tunandelea kuchanjwa (watoto kwa wakubwa) chanjo lukuki kama ya kifua kikuu,surua,polio, tetanus,homa ya ini, dondakoo, homa ya manjano na nyinginezo na zote zinatoka kwa mabeberu
Israel wamechanja 60%.... Maambukizi yamepungua toka malaki hadi mmoja kufikia 16 May.swali langu ni moji tu, Na hakuna hata mmoja amenijibu.. ikiwa chanjo ina ufanisi kwanini maambukizi bado yanaendelea duniani especially zile nchi zilizochanja wananchi wake? Mfano India na Brazil.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Mie sijawahi kuzungumza hivyo vitu, halafu cha ajabu bongo huku huwa mnasema corona ni ugonjwa wa kuja na kuondoka ndio sababu sasa bongo inaonekana hakuna corona ila huko vaccine ndio mnaisimia kuondoa maambukizi.Ww uli doubt effectiveness ya chanjo na ukaanza satire kwamba huko kwenye chanjo mbona maambukizi yanapaa na vifo vinaongezeka???
Sasa una maoni gani kuhusu case study ya Israel?
Mafumbo ya nini si umtaje.Siku ileile aliyoanguka mkuu wa makuhani tulimuona ameivaa...!!
Sasa ameamua kuikataa chanjo ya corona kama alivyokuwa anaamua kuchanja hizo zengine kwa hiari.Mtu anatishia kukataa chanjo ya corona wakati amechanjwa na tunandelea kuchanjwa (watoto kwa wakubwa) chanjo lukuki kama ya kifua kikuu,surua,polio, tetanus,homa ya ini, dondakoo, homa ya manjano na nyinginezo na zote zinatoka kwa mabeberu
Kwa kifupi mtarukaruka na kuchachawa mwisho wa siku mtachanjwa tuuSasa ameamua kuikataa chanjo ya corona kama alivyokuwa anaamua kuchanja hizo zengine kwa hiari.
Waungwana huwa tuna staha usitufananishe na watumwituMafumbo ya nini si umtaje.
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.
Mapendekezo yangu
1) Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2) Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4) Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Watu wanaokataa chanjo wana sababu mbalimbali, zikiwemo zifuatazo:-Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.
Mapendekezo yangu
1) Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2) Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4) Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Acha uonge wewe. Mtu ukimkuta anapumua kwa shida unasema ni Corona. Yapo magonjwa mengi ya shida ya kupumua na siyo Corona. kuna pumu, Ugonjwa wa moyo, Ugonjwa wa Figo na Pneumonia. Ukiangalia watanzania wengi hawana utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara, kwa hiyo mtu ghafla akipatwa na magonjwa ya aina hiyon niliyotaja basi wanakimbilia ni corona na kwa sababu hali imekuwa mbaya na daktari hawezi kupima vipimo vyote kwa wakati mmoja na mgonjwa akifa basi ni wengi wanasema ni corona... siku hizi Mataga wanatambulika kama watanzania "wengi"? Be serious ndugu; labda hayajawahi kukukuta; nenda hospitalini uone wagonjwa wa Covid wanavyoteseka utatamani chanjo ije muda huu huu! Tuwaonee huruma wazee wetu na wengine wenye matatizo ya kiafya; corona ni hatari sana kwa uhai wao! Mataga achana nao hawafagi Corona wale!
Mkuu mimi huwa natembea sana maeneo ya tegeta, msasani na kawe naamini na watu wa mitaa mingine wanaweza toa ushuhuda wao hapa, frankly speaking watu huko mtaani wanaishi kama ni mwaka 2017 kurudi nyuma.Jiwe na serikali yake ya walamba miguu waliwabrain wash sana baadhi ya waTZ vichwa Maji kuhusu Chanjo za kovid19 hazifai.
Chanjo ni Option ,anayetaka atachanjwa asiyetaka basi sio lazima.
Mkuu mimi huwa natembea sana maeneo ya tegeta, msasani na kawe naamini na watu wa mitaa mingine wanaweza toa ushuhuda wao hapa, frankly speaking watu huko mtaani wanaishi kama ni mwaka 2017 kurudi nyuma.
Corona ipo lakini ukiona hali ilivyomtaani kwakweli hofu na hamu ya kujikinga na hayo machanjo inaisha.
Sijui nyinyi mnaishije au watu ambao wanakuzunguka huwa wanavaa barakoa na kutake all precautions.
kachanje na weweHakuna dawa ambayo Haina madhara acha ujinga basi tukatae dawa zote za wazungu
Wajane wa dhalim ndiyo hawataki chanjo wanataka wamfuate bwana waoBaada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.