zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
1. Yes hawezi ambukizwa but hakuna tiba yenye success rate ya 100% so wanavaa barakoa just in case kuna upenyo wa 0.01% ya mtu kupata maradhi. Kama tu condom kuna waliovaa lakini bado wakapata magonjwa ya zinaa na VVU!!Ile kamati ya Corona haikuja na majibu ya maswali kadhaa ambayo ni lazima yajibiwe kwanza kabla ya kutumia hiyo chanjo. Maswali hayo ni:-
(1)Mtu akipata hiyo chanjo hawezi kuambukizwa au kuambukiza Corona?
(2) Kama kweli hiyo chanjo inasaidia, kwa nini basi waliopata chanjo huko Duniani wanaendelea kuvaa barakoa na vifo vinaendelea kama kawaida?
(3)Ni Nchi gani Duniani wananchi wake wamepata chanjo na sasa Corona imetoweka katika Nchi hiyo?
Tunaomba kwanza Maswali haya yajibiwe kabla ya kutumia hiyo chanjo.
2. Chanjo haitibu ila ina zuia maambukizi..... Ili iwe na ufanisi inatakiwa walau 70% ya watu wawe wamechanjwa kwenye eneo husika. Israel nadhani wamechanja zaidi ya 60% na maambukizi yameshuka
3. Israel
Kama unavyoona case zimetoka elfu 1 na kitu kwa siku mpka kesi 1 kufikia 16 May ikionyesha kuna correlation kati ya kuongezeka kwa utoaji chanjo na kupungua kwa maambukizi.
Cc UHURU JR