kiingreza pia unashindwa kutambua hizocherufi, mfano land unaweza andika rand, au portfolio uandike portforioUkiona umeshindwa kulitambua hilo jua ww nae pia unamapungufu kichwani.
Anavyo andika kitu tambua ndivyo anavyo kitamka hio utokana na mazingira aliyo kulia lugha mama ya ilo eneo imauwezo mkubwa wa kuathiri kiswahili chake.
Mfano. Sisi tuliokulia maeneo ya Mara si rahis kutumia "l" kwenye kiswahili chetu maana kwenye native language maneno yenye "l" nimachache ama hayapo kabsa kwaiyo wakati wa kujifunza lugha anajifunza kwa rafudhi ya lugha eneo husika
kwenye kiingreza walionda shule wanakosea piaWanyiha, Wanyamwanga, Wamalila, Wasafwa, Wanyakyusa, Wawanji wote hawana R Wana L tu
Kwenye kuandika atapatia ila amsikilize anapolitamka sasakiingreza pia unashindwa kutambua hizocherufi, mfano land unaweza andika rand, au portfolio uandike portforio
mbona english hakoseiMother tongue imetuathiri.......aka maza tongio
ni mfano tu sababu kuna l na r hapoMbona umekimbilia ramli? Je, Wewe ni Mganga?
Ukweli mtupuukifuatilia vizuri walio wengi ni vilaza hajaenda shule au kama amenda basi ameunga unga na akifuatilia kwa ukaribu maisha yake atakuwa ameishi uswahilini.
Msomi aliye elimika vizuri tungu mwanzo wa elimu kamwe hawezi kushindwa kutofautisha kati ya "R" na "L" chunguza utaona.
Sidhani.,kama ni ufundishaji basi ni kwa kiasi kidogoMkuu siyo tatizo la ufundishaji kweli?
kuendekeza uzembe, wengi tumezaliwa huku Kamachumu hata kiswahili shida ila tunaongea fasaha, sasa mulamula anaongea sijui kihaya, kiswahiliaama kingereza.Hili tatizo lipo kwa waTanzania wengi sana hata graduates kwenye kuandika maneno ya kiswahili lakini si Kiingereza.
Mfano graduate hawezi kosea akaandika gladuate, lakini mtu huyo huyo ramli anaweza akaandika lamli, au ramri.
Hivi tatizo ni nini haswa. Hebu wadau nipeni majibu ya maana
balozi mulamula ameishi Marekani New york miaka na miaka ila hapendi kubadilika kabisa.Ukweli mtupu
kuna kuelimika lakini pia exposure
ukiwa msoma vitabu kwa mfano utajua maneno mengi sana kwa usahihi
Tangu kuteuliwa na CV yake nilikuwa very impressed.,balozi mulamula ameishi Marekani New york miaka na miaka ila hapendi kubadilika kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Obviously you do because it ain't LOOSE but lose.
Kama Professa aliyeishi Marekani anaongea vile, venacular sasa mimi na wewe tuliosoma chini ya mti na vyo vya kata tutaongeaje?Tangu kuteuliwa na CV yake nilikuwa very impressed.,
Ila juzi akisoma Bajeti ya Wizara yake nilikua very dissapointed..was like WTF is this.!!i was in shock kusikia ile Bajeti.,
Namba zinasumbua kusoma si useme Billion 3.567, kuna haja gani kupresent kwa umma vitu visivyoeleweka?
i hope atarekebisha.,haikuwa nzuri kwa kweli
Ni msiba mkubwa kwa kweli.,Kama Professa aliyeishi Marekani anaongea vile, venacular sasa mimi na wewe tuliosoma chini ya mti na vyo vya kata tutaongeaje?
Just imagine BUNGE ZIMA walikuwa wanalilia kiswahili kitumike kila idara, na hata mahakama, nia si kupigia chapuo lugha ila ni WENGI WAO WANA VYETI ILA KUONGEA HAWAJU.
Ukisiliza waimbaji wa kizazi kipya nao wanatatizo hili na pia hawajui thi, dhi, mfano urithi watasema urisi, ridhika watasema rizika n.k.Hili tatizo lipo kwa Watanzania wengi sana hata graduates kwenye kuandika maneno ya kiswahili lakini si Kiingereza.
Mfano graduate hawezi kosea akaandika gladuate, lakini mtu huyo huyo ramli anaweza akaandika lamli, au ramri.
Hivi tatizo ni nini haswa. Hebu wadau nipeni majibu ya maana
Hapa umefanya kusudi au na wewe ni mhanga?Mi kwenye Kiswahiri rabda, ira kwenye English ain't loose battle that easily.