Kwanini wateja wanatumia “mna” na “wingi” wanapoulizia bidhaa? Ni saikolojia au mazoea ya lugha?

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
8,508
Reaction score
15,276
Habari wana JF

Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.

Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.

Mfano:

•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna tiles za rangi hii?
•Mna tank za maji?
•Mna rangi za kupaka ukuta?
•Mna mashine za welding?
•Mna vifaa vya plumbing?
•Mna solar panels?
•Mna CCTV cameras?
•Mna extension cables?

Lakini kiuhalisia, mara nyingi anahitaji kitu kimoja tu.

Pia kuna kitu kingine cha kuvutia zaidi 👇🏻

Karibu wateja wote hutumia neno “mna” badala ya “una”

Mfano:

•Mna pump?
•Badala ya kusema: Una pump?

Swali linakuja:
👉 Huyu mteja ana uhakika gani kwamba hili duka ni la watu wengi (partnership) na sio mtu mmoja tu ndo mmiliki (single entity)

Au kwanini automatic anachagua kutumia “mna”?

Je inaweza kuwa:

•Ni lugha ya heshima (formal tone)?
•Ana-assume biashara ina team hata kama ni mtu mmoja?
•Ni njia ya kuonyesha seriousness ya manunuzi?
•Au ni mazoea tu ya mawasiliano ya kibiashara?

Kwa upande wangu naona hii ina reflect psychology ya mteja + communication habits ambazo wengi hatuzifikirii kwa undani.

👉 Ninyi mnaonaje? Wale wanaopokea simu kila siku, mme-notice hili?

Karibuni tushare uzoefu na mawazo 👇🏻
 
Tujue kwanza,anapokuja huyo mteja hapo eneo la tukio wangapi mnakuwa mmesimama kama watoa huduma wa eneo husika?

Akisema “mna” yupo sahihi ana-assume wote wahusika na wote mnaweza mkamjibu.
Kuna case kama hiyo uliozungumzia na kuna ile anapiga simu, hamjawahi kuonana wala hamfahamiani na bado atatumia wingi
 
Mfano:

•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna tiles za rangi hii?
•Mna tank za maji?
•Mna rangi za kupaka ukuta?
•Mna mashine za welding?
•Mna vifaa vya plumbing?
•Mna solar panels?
•Mna CCTV cameras?
•Mna extension cables?
Anauliza km kampuni nzima sio wewe km wewe

Hususani ukiwa na duka kubwa na mhudumu hauko peke yako yaan mpo km 8 nikija sikuuliza una nitauliza mna maana yake nawauliza wote sio wewe peke yako

Mfano kuna hizi pharmacy au hardware kubwa ukiingia huwezi kuta mfanyazi mmoja umekuta wachache sana 10 au 8 hapo lazima uuliza mna Panadol au Paracetamol?
 
Habari wana JF

Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.

Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.

Mfano:

•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna tiles za rangi hii?
•Mna tank za maji?
•Mna rangi za kupaka ukuta?
•Mna mashine za welding?
•Mna vifaa vya plumbing?
•Mna solar panels?
•Mna CCTV cameras?
•Mna extension cables?

Lakini kiuhalisia, mara nyingi anahitaji kitu kimoja tu.

Pia kuna kitu kingine cha kuvutia zaidi 👇🏻

Karibu wateja wote hutumia neno “mna” badala ya “una”

Mfano:

•Mna pump?
•Badala ya kusema: Una pump?

Swali linakuja:
👉 Huyu mteja ana uhakika gani kwamba hili duka ni la watu wengi (partnership) na sio mtu mmoja tu ndo mmiliki (single entity)

Au kwanini automatic anachagua kutumia “mna”?

Je inaweza kuwa:

•Ni lugha ya heshima (formal tone)?
•Ana-assume biashara ina team hata kama ni mtu mmoja?
•Ni njia ya kuonyesha seriousness ya manunuzi?
•Au ni mazoea tu ya mawasiliano ya kibiashara?

Kwa upande wangu naona hii ina reflect psychology ya mteja + communication habits ambazo wengi hatuzifikirii kwa undani.

👉 Ninyi mnaonaje? Wale wanaopokea simu kila siku, mme-notice hili?

Karibuni tushare uzoefu na mawazo 👇🏻
Mteaja anaamini Hiyo ni kampuni , kwamba ukimuuzia hata ukifa kesho, wamiliki wenza wapo, hivyo wewe ni mlipa kodi lakini wateja wana elimu ya biashara kwamba nihatari sana kufanya kazi na solo person ama non company kwakuwa akifa ama akifa atadai mwengine.
 
Mara nyingi biashara huwa inakuwa term kama organization ya kutoa huduma hivyo ndio maana inatumika kwa wingi. (Mna) isipokuwa vitu vya kutembeza vyenyewe huwa wanasema (una)

Hiyo ya wingi labda huwa tunahisi tukitumia umoja ni kama ni cha kwako binafsi ila wingi vitakuwa kwa ajili ya biashara. Haya ni mawazo yangu tu
 
Habari wana JF

Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.

Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.

Mfano:

•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna tiles za rangi hii?
•Mna tank za maji?
•Mna rangi za kupaka ukuta?
•Mna mashine za welding?
•Mna vifaa vya plumbing?
•Mna solar panels?
•Mna CCTV cameras?
•Mna extension cables?

Lakini kiuhalisia, mara nyingi anahitaji kitu kimoja tu.

Pia kuna kitu kingine cha kuvutia zaidi 👇🏻

Karibu wateja wote hutumia neno “mna” badala ya “una”

Mfano:

•Mna pump?
•Badala ya kusema: Una pump?

Swali linakuja:
👉 Huyu mteja ana uhakika gani kwamba hili duka ni la watu wengi (partnership) na sio mtu mmoja tu ndo mmiliki (single entity)

Au kwanini automatic anachagua kutumia “mna”?

Je inaweza kuwa:

•Ni lugha ya heshima (formal tone)?
•Ana-assume biashara ina team hata kama ni mtu mmoja?
•Ni njia ya kuonyesha seriousness ya manunuzi?
•Au ni mazoea tu ya mawasiliano ya kibiashara?

Kwa upande wangu naona hii ina reflect psychology ya mteja + communication habits ambazo wengi hatuzifikirii kwa undani.

👉 Ninyi mnaonaje? Wale wanaopokea simu kila siku, mme-notice hili?

Karibuni tushare uzoefu na mawazo 👇🏻
Hili nalo unataka tulijadii?
 
Back
Top Bottom