Kuna case kama hiyo uliozungumzia na kuna ile anapiga simu, hamjawahi kuonana wala hamfahamiani na bado atatumia wingiTujue kwanza,anapokuja huyo mteja hapo eneo la tukio wangapi mnakuwa mmesimama kama watoa huduma wa eneo husika?
Akisema “mna” yupo sahihi ana-assume wote wahusika na wote mnaweza mkamjibu.
Anauliza km kampuni nzima sio wewe km weweMfano:
•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna tiles za rangi hii?
•Mna tank za maji?
•Mna rangi za kupaka ukuta?
•Mna mashine za welding?
•Mna vifaa vya plumbing?
•Mna solar panels?
•Mna CCTV cameras?
•Mna extension cables?
Mteaja anaamini Hiyo ni kampuni , kwamba ukimuuzia hata ukifa kesho, wamiliki wenza wapo, hivyo wewe ni mlipa kodi lakini wateja wana elimu ya biashara kwamba nihatari sana kufanya kazi na solo person ama non company kwakuwa akifa ama akifa atadai mwengine.Habari wana JF
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.
Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.
Mfano:
•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna tiles za rangi hii?
•Mna tank za maji?
•Mna rangi za kupaka ukuta?
•Mna mashine za welding?
•Mna vifaa vya plumbing?
•Mna solar panels?
•Mna CCTV cameras?
•Mna extension cables?
Lakini kiuhalisia, mara nyingi anahitaji kitu kimoja tu.
Pia kuna kitu kingine cha kuvutia zaidi 👇🏻
Karibu wateja wote hutumia neno “mna” badala ya “una”
Mfano:
•Mna pump?
•Badala ya kusema: Una pump?
Swali linakuja:
👉 Huyu mteja ana uhakika gani kwamba hili duka ni la watu wengi (partnership) na sio mtu mmoja tu ndo mmiliki (single entity)
Au kwanini automatic anachagua kutumia “mna”?
Je inaweza kuwa:
•Ni lugha ya heshima (formal tone)?
•Ana-assume biashara ina team hata kama ni mtu mmoja?
•Ni njia ya kuonyesha seriousness ya manunuzi?
•Au ni mazoea tu ya mawasiliano ya kibiashara?
Kwa upande wangu naona hii ina reflect psychology ya mteja + communication habits ambazo wengi hatuzifikirii kwa undani.
👉 Ninyi mnaonaje? Wale wanaopokea simu kila siku, mme-notice hili?
Karibuni tushare uzoefu na mawazo 👇🏻
Basi mkuu, nikija nitakuwa natumia kauli ya "kuna" ama "una" 😂🤣Mkuu nimeuliza tuu, kwann nikereke 😀😀😀
Hili nalo unataka tulijadii?Habari wana JF
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.
Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.
Mfano:
•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna tiles za rangi hii?
•Mna tank za maji?
•Mna rangi za kupaka ukuta?
•Mna mashine za welding?
•Mna vifaa vya plumbing?
•Mna solar panels?
•Mna CCTV cameras?
•Mna extension cables?
Lakini kiuhalisia, mara nyingi anahitaji kitu kimoja tu.
Pia kuna kitu kingine cha kuvutia zaidi 👇🏻
Karibu wateja wote hutumia neno “mna” badala ya “una”
Mfano:
•Mna pump?
•Badala ya kusema: Una pump?
Swali linakuja:
👉 Huyu mteja ana uhakika gani kwamba hili duka ni la watu wengi (partnership) na sio mtu mmoja tu ndo mmiliki (single entity)
Au kwanini automatic anachagua kutumia “mna”?
Je inaweza kuwa:
•Ni lugha ya heshima (formal tone)?
•Ana-assume biashara ina team hata kama ni mtu mmoja?
•Ni njia ya kuonyesha seriousness ya manunuzi?
•Au ni mazoea tu ya mawasiliano ya kibiashara?
Kwa upande wangu naona hii ina reflect psychology ya mteja + communication habits ambazo wengi hatuzifikirii kwa undani.
👉 Ninyi mnaonaje? Wale wanaopokea simu kila siku, mme-notice hili?
Karibuni tushare uzoefu na mawazo 👇🏻
Ila we jamaa ni noma kweli yaani.Ngoja Kina Koaneka ,Oni Sigala na Consolata waje kutupa ufafanuzi.
Mwongeze na Chief Godlove, ndo atafurahi hadi mbingu ya saba.Bas mkuu twende tumkajdili Vanessa mdee si ndo mambo yako umefurahi sasa 😀😀😀😀😀