Mama alishasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.Wadau mtakubaliana na Mimi haya mazoea yamekuwa Kama uhalali na Sheria kwamba ukiingia kwenye ofisi ya afisa mtendaji au mwenyekiti lazima uandae sh 2000-5000-20000 kwa ajili ya kupata huduma (mara nyingi huwa muhuri tu wa ofisi)
Miaka nenda miaka rudi haya mazoea hutendeka sijui imeidhinishwa au ni utashi wa watu, na mara nyingi inapotokea madogo wakitaka kuomba mkopo ya elimu ya juu kwenye kuidhinisha taarifa za muombaji hukumbwa na kadhia hiyo wengine ni hawa vijana wanaoenda JKT yaani lwzima watozwe hela sijui kwanini ( sio wote ila ni wengi)
Mamlaka tunaomba mtutolee ufafanuzi
Unamaanisha kila Mwanasheria ni mtumishi wa umma?Kimsingi hakuna sheria inayoruhusu kulipishwa kwa ngazi ya mwenyekiti na kwa mtendaji ila huko kwa kamishna sijui utaratibu, lakini hizi ofisi hazina mafungu ya kuziendeshea, kuna mhuri, peni, ink pad na karatasi zote hizi hununuliwa kwa fedha na wakati mwingine hata ofisi yenyewe pia huwa imepangwa, je ushawahi kujiuliza hizo pesa zinatoka wapi?
Ni watu hujitolea kufanya mambo yaende, lakini ni mazoea watu wamejiwekea, mfano÷ kumuwekea mtu dhamana polisi ni bure lakini lazima upitie kwa mwenyekiti akupe barua ya utambulisho then uende polisi, hiyo barua unafikiri mtendaji au mwenyekiti kapewa bure ndio akupe wewe bure? Mbona hamlalamiki pesa za dhamana mnazotoa?
Wengine huambiwa nenda Kaprint au katoe copy barua then unaandikiwa bure, au hao madogo wa sijui loan au jkt mbona wakienda kwa advocate hutoa hela ya mhuri na kinyume na hapo hupati huduma na hamlalamiki? wabongo tunapenda sana ulalamishi sana, support hizo ofisi hata kwa kupeleka rim ili wengine wasiojiweza nao wasaidiwe
kwani wanalipwa posho!?????Wadau mtakubaliana na Mimi haya mazoea yamekuwa Kama uhalali na Sheria kwamba ukiingia kwenye ofisi ya afisa mtendaji au mwenyekiti lazima uandae sh 2000-5000-20000 kwa ajili ya kupata huduma (mara nyingi huwa muhuri tu wa ofisi)
Miaka nenda miaka rudi haya mazoea hutendeka sijui imeidhinishwa au ni utashi wa watu, na mara nyingi inapotokea madogo wakitaka kuomba mkopo ya elimu ya juu kwenye kuidhinisha taarifa za muombaji hukumbwa na kadhia hiyo wengine ni hawa vijana wanaoenda JKT yaani lwzima watozwe hela sijui kwanini ( sio wote ila ni wengi)
Mamlaka tunaomba mtutolee ufafanuzi
Sasa hapa mkuu sijajua unataka kuhalalisha niniKimsingi hakuna sheria inayoruhusu kulipishwa kwa ngazi ya mwenyekiti na kwa mtendaji ila huko kwa kamishna sijui utaratibu, lakini hizi ofisi hazina mafungu ya kuziendeshea, kuna mhuri, peni, ink pad na karatasi zote hizi hununuliwa kwa fedha na wakati mwingine hata ofisi yenyewe pia huwa imepangwa, je ushawahi kujiuliza hizo pesa zinatoka wapi?
Ni watu hujitolea kufanya mambo yaende, lakini ni mazoea watu wamejiwekea, mfano÷ kumuwekea mtu dhamana polisi ni bure lakini lazima upitie kwa mwenyekiti akupe barua ya utambulisho then uende polisi, hiyo barua unafikiri mtendaji au mwenyekiti kapewa bure ndio akupe wewe bure? Mbona hamlalamiki pesa za dhamana mnazotoa?
Wengine huambiwa nenda Kaprint au katoe copy barua then unaandikiwa bure, au hao madogo wa sijui loan au jkt mbona wakienda kwa advocate hutoa hela ya mhuri na kinyume na hapo hupati huduma na hamlalamiki? wabongo tunapenda sana ulalamishi sana, support hizo ofisi hata kwa kupeleka rim ili wengine wasiojiweza nao wasaidiwe
Kuna mtu alikulazimisha utoe?Wadau mtakubaliana na Mimi haya mazoea yamekuwa Kama uhalali na Sheria kwamba ukiingia kwenye ofisi ya afisa mtendaji au mwenyekiti lazima uandae sh 2000-5000-20000 kwa ajili ya kupata huduma (mara nyingi huwa muhuri tu wa ofisi)
Miaka nenda miaka rudi haya mazoea hutendeka sijui imeidhinishwa au ni utashi wa watu, na mara nyingi inapotokea madogo wakitaka kuomba mkopo ya elimu ya juu kwenye kuidhinisha taarifa za muombaji hukumbwa na kadhia hiyo wengine ni hawa vijana wanaoenda JKT yaani lwzima watozwe hela sijui kwanini ( sio wote ila ni wengi)
Mamlaka tunaomba mtutolee ufafanuzi
Yaani jamaa kwa kuwa yeye kuitoa buku bee ni wepesi kwake anaamini kila mtu anaweza kuwaridhisha WatendajiUsichukulie kitu Kwa udogo, hata hko unakosemea police kuliaza kama hku unakoona ni jambo dogo, kitu kikiwekewa mazoe mwisho wa siku Huwa ni utamaduni end the day haitakiwa ombi tena inakuwa kama Sheria coz ya kitu kuchukulia Kwa udogo.
Tunalipa kodiKimsingi hakuna sheria inayoruhusu kulipishwa kwa ngazi ya mwenyekiti na kwa mtendaji ila huko kwa kamishna sijui utaratibu, lakini hizi ofisi hazina mafungu ya kuziendeshea, kuna mhuri, peni, ink pad na karatasi zote hizi hununuliwa kwa fedha na wakati mwingine hata ofisi yenyewe pia huwa imepangwa, je ushawahi kujiuliza hizo pesa zinatoka wapi?
Ni watu hujitolea kufanya mambo yaende, lakini ni mazoea watu wamejiwekea, mfano÷ kumuwekea mtu dhamana polisi ni bure lakini lazima upitie kwa mwenyekiti akupe barua ya utambulisho then uende polisi, hiyo barua unafikiri mtendaji au mwenyekiti kapewa bure ndio akupe wewe bure? Mbona hamlalamiki pesa za dhamana mnazotoa?
Wengine huambiwa nenda Kaprint au katoe copy barua then unaandikiwa bure, au hao madogo wa sijui loan au jkt mbona wakienda kwa advocate hutoa hela ya mhuri na kinyume na hapo hupati huduma na hamlalamiki? wabongo tunapenda sana ulalamishi sana, support hizo ofisi hata kwa kupeleka rim ili wengine wasiojiweza nao wasaidiwe
InashangazaHivi suala la yeye kutolipwa Mimi mwananchi wa kawaida linanihusu nini?
Na umesema suala la shukran, hizi ofisi zimejichukulia hili Jambo ni Kama utaratibu na sio hisani Kama wewe unavyotaka kuelezea
Wakati anaanza kuandika nilihisi atashuka na nondo za maana sana! Mpaka mwisho ndo nikajua kuwa alikuwa hajui aendako! Tangu mwanzo alishapitiliza kwao na akaendelea kupuyanga mpaka nje kabisa ya dunia hii!Ujue nimemshangaa sana
Huduma zipi wananchi tunapaswa kulipia kisheriaKwa watendaji ni kosa kisheria kulipisha huduma kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali.
Wenyeviti hawalipwi hivyo wengi wanajiongeza, sasa hapo utaamua usiwape usipate huduma au uende takukuru sababu ya buku 5 Kwa mtu asie na mshahara.
Ila kwa wenyeviti kuna baadhi ya malipo ya huduma yapo kisheria kulingana na Halmashauri husika.