Mwenyekiti
Huwezi kubishana kwa hoja hadi uongee maneno ya kukera eeh? Ushawahi hata siku moja kushiriki mkutano wa kijiji/mtaa? Au unahisi vitu virahisi tu, yani utoke kwako na kitambi chako kama tikiti bovu, uje kwenye ofisi ya mtendaji/mwenyekiti na mikaratasi yako ya mkopo, ujichekeshe chekeshe ugongewe muhuri na barua ya utambulisho harafu unafuta makalio yako unaondoka, we unahisi hayo makaratasi yamejileta tu ofisini, pen, ink pad viti vyote watu wamechangia, wewe elfu mbili yako unakuja kuitolea malalamiko huku.
Zipo sheria ndogondogo hutungwa kwenye mikutano ya mtaa mfano ada za ulinzi shirikishi na maendeleo ya mtaa mfano ujenzi wa ofisi za mitaa na mengineyo sasa ukute wewe na ujuaji wako hushiriki harafu yakikukuta unalalama,
Usituchoshe muulize aliyekwambia utoe hela hiyo sheria kaitoa wapi kifaruhande wewe