Kwanini Watendaji na wenyeviti wa mitaa/Kijiji huuza huduma za kiutawala kwa wananchi?

Wakati anaanza kuandika nilihisi atashuka na nondo za maana sana! Mpaka mwisho ndo nikajua kuwa alikuwa hajui aendako! Tangu mwanzo alishapitiliza kwao na akaendelea kupuyanga mpaka nje kabisa ya dunia hii!
Uchawa unaua uwezo wa kufikiri"
Hawa masisiemu ni mas nge Sana yaani
 
Ni wizi na rushwa na kwa kuwa imekuwa hivyo kwa muda mrefu, basi imekuwa kama sheria!
Siku nyingine ukiwa na issue ya kawaida, komaa mpaka kieleweke - saa nyingine ni sisi tunawalemaza
 
Yote hayo no ushenzi mtupu mwananchi wa kawaida ni haki yake kupatiwa huduma na sio viongozi kutia tia huruma serikali ndogo ndogo za mitaa hadi serikali kuu Wana vyanzo vingi vya mapato kumuongezea mzigo mwananchi kwenye huduma muhimu za kiutawala ni upumbavu
 
Mimi nadhani tukitaka mambo haya ya kutoa pesa Kwa wenyeviti yakomeshwe wawe wanapewa mishahara Kwa mwezi pamoja na wajumbe wao, hivi ni halali kweli mtu atoe muda wake afanye kazi bure? Ana familia na majukumu yake pia .
 
Ni wizi na rushwa na kwa kuwa imekuwa hivyo kwa muda mrefu, basi imekuwa kama sheria!
Siku nyingine ukiwa na issue ya kawaida, komaa mpaka kieleweke - saa nyingine ni sisi tunawalemaza
Unakuta unaomba upewe hiduma fulani halafu mtu anakuambia bila aibu kabisa "leta 3000"
 
Mimi nadhani tukitaka mambo haya ya kutoa pesa Kwa wenyeviti yakomeshwe wawe wanapewa mishahara Kwa mwezi pamoja na wajumbe wao, hivi ni halali kweli mtu atoe muda wake afanye kazi bure? Ana familia na majukumu yake pia .
Lakini hawa watu hawalazimishwi kuchukua hizo nafasi
 
Huduma zipi wananchi tunapaswa kulipia kisheria
Watendaji hairuhusiwi kulipia.

Wenyeviti baadhi ya huduma na baadhi ya Halmashauri. Hivyo inategemeana na Halmashauri ulipo.

Ukitaka kujua fika ofisi ya Mkurugenzi ya Halmashauri uliyopo watakupa orodha ya huduma ambazo wamezipitisha kisheria kulipia Kwa wenyeviti.
 
Wakuu mimi ndio kiranja mkuu huku kuzimu yote yaliyosemwa sio kweli. Narudia tena ni uwongo mtupu.

Kunyweni bia sana imbeni na fanyeni ibada kujifurahisha mwili. Huku hakuna mambo ya duniani kwa hiyo fanyeni mpaka mzeekee.

Huku ni kuzuri ila sio kama duniani. Kuna shida na karaha kuliko duniani. Sio sehemu ya kufikiria kuja ukiwa na nguvu. Ni bora ukae gerezani kuliko kuzimu huku haina vitu vya duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…