Bei za malighafi, fiber bei yake Sio sawa na metal.. pili hata machine za viwandani (kukunja na kufanya welding ) mashine za fiber pia hazina gharama kama za mabati
Kwa kifupi mtiririko mzima kuanzia malighafi hadi vitendea kazi kwa fiber nafuu kuliko mabati ila pia kuna Angle ya usalama ingawa hii huwa sielewagi wanasema plastic fibers zina absorve impact so chances za abiria kusurvive bi kubwa kuliko gari za mabati
Sasa hilo la mwisho usiniulize "how" maana mwenyewe haijaclick kwangu
Ila yote kwa yote tuko kwenye zama za low cost, mass production and less quality ili after 5 to 10 years urudi sokoni habar za kununua babu had mjukuu anatumia hawatak ..