Kwanini watengeneza magari waliacha kutengeneza bodi zenge bati gumu kama zamani

Bei za malighafi, fiber bei yake Sio sawa na metal.. pili hata machine za viwandani (kukunja na kufanya welding ) mashine za fiber pia hazina gharama kama za mabati

Kwa kifupi mtiririko mzima kuanzia malighafi hadi vitendea kazi kwa fiber nafuu kuliko mabati ila pia kuna Angle ya usalama ingawa hii huwa sielewagi wanasema plastic fibers zina absorve impact so chances za abiria kusurvive bi kubwa kuliko gari za mabati

Sasa hilo la mwisho usiniulize "how" maana mwenyewe haijaclick kwangu

Ila yote kwa yote tuko kwenye zama za low cost, mass production and less quality ili after 5 to 10 years urudi sokoni habar za kununua babu had mjukuu anatumia hawatak ..
This is absolutely truth
 
Nimekusoma, kumbe walizingatia vitu vingi,nilijua gari isipopigika sana na watu watakuwa na nafuu
Impact ya collision haiishii tu kwenye gari, inawafikia na watu waliomo ndani ya gari. sasa kama collision ni kubwa halafu gari hariharibiki maanayake watu waliomo ndani ya hilo gari ndo wataipata.

Gari linavo haribika baada ya collision maana yake kiasi fulani imepunguza impact ya huko kugongana.
 
Kwanini wasingeweka viwango sawa ? Huoni zikigongana mmoja mlaini ataonewa?

Ni kweli ilipaswa kuwa hiyvo..Lakini kuhusu viwango vya ubora mchina anazingua ndio maana gari zake zime tapakaa sana Road watu wanafuata bei kitonga....

Mimi 2024 mwezi 7 nilipata Ajari nikiwa na Scania Songwe chuma ina anguka ikiwa ina Around Speed 97 mixer kugonga Nguzo ya umeme..Break zili fail..

Sasa ingekuwa kuwa ya kichina na yale mabox yake?
 
Impact ya collision haiishii tu kwenye gari, inawafikia na watu waliomo ndani ya gari. sasa kama collision ni kubwa halafu gari hariharibiki maanayake watu waliomo ndani ya hilo gari ndo wataipata.

Gari linavo haribika baada ya collision maana yake kiasi fulani imepunguza impact ya huko kugongana.
Daah!

Pole sana mkuu
 
Bei za malighafi, fiber bei yake Sio sawa na metal.. pili hata machine za viwandani (kukunja na kufanya welding ) mashine za fiber pia hazina gharama kama za mabati

Kwa kifupi mtiririko mzima kuanzia malighafi hadi vitendea kazi kwa fiber nafuu kuliko mabati ila pia kuna Angle ya usalama ingawa hii huwa sielewagi wanasema plastic fibers zina absorve impact so chances za abiria kusurvive bi kubwa kuliko gari za mabati

Sasa hilo la mwisho usiniulize "how" maana mwenyewe haijaclick kwangu

Ila yote kwa yote tuko kwenye zama za low cost, mass production and less quality ili after 5 to 10 years urudi sokoni habar za kununua babu had mjukuu anatumia hawatak ..
Yaani Kuna MITSUBISHI ziliingia kwa wingi kuanzia 1995 jeshini kwa Maofisa kukopeshwa (TZJ enzi hizo), zipo mpaka Leo zinapiga kazi. Ukiziona utadhani za miaka mi5 iliyopita. Hii kweli inaitwa 'Babu mpaka Mjukuu'
 
We angalia motsubishi min pajero zile Jr au Corolla na carina zile 100 na 110 au baloon au Rv4

Ila sasa amgalia Magari ya kuanzia 2005 kuja juu.. likimaliza 5 years ili liwe bado liko poa inabid uwe mtunzaji wa hali ya juu yaan kama mhindi wa kariakoo ambaye anakaa mtaa wa nyuma duka analouza liko mtaa wa mbele akienda mbali kaenda beach na familia.. hapo walau hata 10 yrs gari itakaa
 
Ajali zinazouwa watu wengi mfano mwaka huu pekee ni za uso kwa uso na gari zinakwisha kabisa nilidhani labda zingetengenezwa kama matoleo ya zamani kungekuwa na nafuu ya " kipigo".
Ila hizi zote zingezuilika. Tutunge Sheria mwenye basi/gari dereva wako akisababisha ajari na ikasibitika bila shaka kosa ni lake. Anyongwe mwenye Mali kama dereva kafa, akiwa mzima tunyonge dereva tu. Hii itachichea kuwakanya watoto wao waendeshe vizuri.
 
Impact ya collision haiishii tu kwenye gari, inawafikia na watu waliomo ndani ya gari. sasa kama collision ni kubwa halafu gari hariharibiki maanayake watu waliomo ndani ya hilo gari ndo wataipata.

Gari linavo haribika baada ya collision maana yake kiasi fulani imepunguza impact ya huko kugongana.
Mambo ya fizikia haya, sasa mkuu si abiria anakua kafunga mkanda na airbag itamsaidia.

Jaribu kudadavu kidogo nackama kuna calculations ziweke tu
 
Kabisa, abiria wakifunga mkanda watapigikaje? Mimi naona ulaini wa magari ya sasa unafanya hata airbag na mikanda isiwe na maana yoyote maana gari inakuwa takataka inaisha yote kabisa kwenye ajali
 
Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali.

Tofauti na hivi sasa mtu ananunua gari milioni 500 lakini bodi ni kama aina fulani ya plastiki gumu.

Ikitokea ajali gari inakwisha kila kitu na watu wake humohumo,ukifika eneo la ajali utadhani ni dampo watu wametupa taka.

Shida nini?
Fuel efficiency inataka body jepesi ili kushindana na soko
Life style vs business= hakuna mtu anayetaka kukaa na gari muda mrefu siku hizi models zinatoka kwa haraka sana
UNavyobania material ndio faida inaongezeka
 
Ooh ila usalama wa waendesha hayo magari unakuwa mdogo
 
Kabisa, abiria wakifunga mkanda watapigikaje? Mimi naona ulaini wa magari ya sasa unafanya hata airbag na mikanda isiwe na maana yoyote maana gari inakuwa takataka inaisha yote kabisa kwenye ajali
Nazi Ignition ana hoja, ila sasa imekaa kifizikia fizikia. Akielezea vizuri labda tutaelewa.

Halafu sawa inaweza kua na sababu za kibiashara lakini ndo watengeneze gari ambazo zinachinja watu?? Haingii akilini hata kama lengo ni kupata faida marafufu.

Mara nyingi wabunifu wa hizi mambo, huwa wanafikiria kitu bei rahisi chenye madhara kidogo na chenye kuendeshwa kwa gharama ndogo.
 
Back
Top Bottom