Pre GE2025 Kwanini Wateule wa Hayati Magufuli wanarejeshwa na Wale aliwatumbua na kurejeshwa na Rais Samia wanatumbuliwa tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena

Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa Magufuli?

Mtanikumbuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono ๐Ÿ˜€
Na Raisi , anaona shida kuwakaripia watu waliomzidi umri
 
Yalitabiliwa hapa
 
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena

Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa Magufuli?

Mtanikumbuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono ๐Ÿ˜€
Hao wengine wa kuwateua kwenye hizo nafasi wako wapi? Kwani CCM ina watu wengine wenye uwezo kuliko hao wanaopokezana?

Ukiona hivi ujue CCM haijafanya kazi yake ya kutengeneza viongozi, hadi inafikia kuwa hakuna warithi wa wazee kama Lukuvi na Kabudi.

Maana hata Magufuli aliwakuta na akaendelea kuwatumia hadi ndiyo hivyo akawaacha na hata Samia naye atawaacha.

Ova
 
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena

Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa Magufuli?

Mtanikumbuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono ๐Ÿ˜€

..Mama amechanganyikiwa.

..Kabudi atafanyaje kazi na Johari?

..Johari ndio kinara wa DP W na mkataba uliokuwa kinyume na sheria ya ulinzi wa rasilimali za taifa.
 
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena

Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa Magufuli?

Mtanikumbuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono ๐Ÿ˜€
Hakika anakumbukwa kama alivyosema
 
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena

Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa Magufuli?

Mtanikumbuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono ๐Ÿ˜€
Hakuna Chadema hapo wote CCM
 
Mzee Mgaya endelea kula mtori nyama zipo chini.

Britanicca alisema mkeka ukitoka "Zakayo" ataondolewa lakini panga limemkosa.
 
Back
Top Bottom