ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Iko vile !Changamoto kubwa, wabunge wa ccm hawana credibility kwenye masuala ya leadership anakosa amweke nani anaona afadhali ya Jana , inasikitisha sana kuwa na wabunge zaidi ya mia tatu halafu walio na credibility ya leadership hawazidi kumi