Pre GE2025 Kwanini Wateule wa Hayati Magufuli wanarejeshwa na Wale aliwatumbua na kurejeshwa na Rais Samia wanatumbuliwa tena?

Pre GE2025 Kwanini Wateule wa Hayati Magufuli wanarejeshwa na Wale aliwatumbua na kurejeshwa na Rais Samia wanatumbuliwa tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Changamoto kubwa, wabunge wa ccm hawana credibility kwenye masuala ya leadership anakosa amweke nani anaona afadhali ya Jana , inasikitisha sana kuwa na wabunge zaidi ya mia tatu halafu walio na credibility ya leadership hawazidi kumi
Iko vile !
 
Yaani JPM alikuwa na akili na mtu wa haki? Kazi ipo
Leadership is not like walking to the park !
Wakikujua wateule upo hivyo watakuchezea sana !
JPM katika mengi alikuwa sahihi na katika machache alikosea pia !
 
Wewe si umekaririshwa na Team za mchongo. Akili umekabidhi watu na hataki kufkir kabsa. Watu wakisema Flani mbaya na wewe unafuata mkumbo tu.
Kwa hiyo wewe ndiye hujakaririshwa kwa kuwa una mtizamo tofauti na wangu? Punguza ujuaji na heshimu mitizamo ya raia wengine. Kwamba JPM hakuwa na matatizo, tena alikuwa na matatizo mengi na megine unashindwa kujua ni kwa nini anaamua kufanya huo utoto. Anyway alikuwa na mazuri yake machache na bado aliamu kuyafanya kwa njia isiyo sahihi hata kidogo. Mungu aendelee kumpa pumziko la milele.
 
JPM alikuwa Mwamba na Mwamba kweli kweli. Wanashindwa kumu appreciate wazi wazi, wanamu appreciate kimya kimya.
 
Wateule wa shujaa Magufuli ni wachapa kazi na wazalendo kwa mali za umma .

Pamoja na hayo , Samia akishika hatamu tena baada ya uchaguzi 2025 , ajitahidi kuibua vipaji vipya vya uongozi . Aache kukariri watu wanaojulikana tu kwenye teuzi zake .
 
Back
Top Bottom