We ni mpuuzi sana tu,degree nimepata nna miaka 30.
Bila mimi hivyo vitoto vya kizungu havili vitashinda njaa
Siku nikigoma italetwa mpaka ambulance mlangoni nikatibiwe.
Mazingira yanafanya tusome ukubwani.
Naanza darasa la kwanza kajiunga john ana miaka 15,sikumcheka na alikua classmate safi sana.huyo jamaa kukesha na maji miguuni kwake poa tu.
Sijui atakua wapi leo ila la saba alitoboa kwenda Secondary.
We uko labda Poland huko au Romania.
Huko utulie tu.