Kwanini watoto wengi wanapenda wali-maharage?

Vipi una Ulcers ama hupendi tu maharage?, mimi mbaazi,dengu,choroko duh sitaki bora ndondo tu

Sina ulcers, yaani siyaoni kama ni matamu tu kama mnavyoyasifia eti, lakini kaka yangu tulikua pamoja ni chakula chake pendwa hadi leo hii, mke wake lazima ahakikishe kuna maharage kwenye mlo.
 
limbwata hilo linafanya kazi, kenge we, dume unaacha kutafuta hela unashinda jikoni kukata vitunguu na kuonja chumvi.
Na wewe kutwa kushinda ndani na mkeo uku mnasikiliza mirindimo ya pwani na mauno juu.


Mimi bado sijaoa nakaa na madogo wa marehemu anko
 
Na wewe kutwa kushinda ndani na mkeo uku mnasikiliza mirindimo ya pwani na mauno juu.


Mimi bado sijaoa nakaa na madogo wa marehemu anko
😁😁😁😁 basi dogo yaishe naona unaanza kutoa siri za kambi, hii ndio shida ya kuishi na majirani wambea kama wewe.
 
Sijui kwanini sipendi wali harage..nakulaga tu nikiwa Sina m'badala wa mboga.
 
Vipi una Ulcers ama hupendi tu maharage?, mimi mbaazi,dengu,choroko duh sitaki bora ndondo tu
Shuleni siku za kupikwa wali na maharagwe

Siku hizo tukiziita siku za punje kwa punje

Nilikua naishi na viongozi wao walikua wanachukua vindoo vidogo viwili vya wali mchanganyiko na ukoko
,basi siku za ugali maharagwe wao wakikua wanaenda tu kuchukua mboga tuu tunakula wali mpaka nikawa naumis ugali
cc: meta high school
 
Hawapendi Ni chakula kinachopatikana kwa urahisi kwenye familia zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…