emmadizzo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,340
- 1,445
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi una Ulcers ama hupendi tu maharage?, mimi mbaazi,dengu,choroko duh sitaki bora ndondo tu
Aisee sitoacha kupenda wali maharage na mboga za majani, inanoga sana hasa akipika mtu anayejua kupika,
ila ugali na maharage huwa nahisi kama natafuna risasi pamoja na grenade.
Na wewe kutwa kushinda ndani na mkeo uku mnasikiliza mirindimo ya pwani na mauno juu.limbwata hilo linafanya kazi, kenge we, dume unaacha kutafuta hela unashinda jikoni kukata vitunguu na kuonja chumvi.
😁😁😁😁 basi dogo yaishe naona unaanza kutoa siri za kambi, hii ndio shida ya kuishi na majirani wambea kama wewe.Na wewe kutwa kushinda ndani na mkeo uku mnasikiliza mirindimo ya pwani na mauno juu.
Mimi bado sijaoa nakaa na madogo wa marehemu anko
Naeza karibia kwenu siku mkipika wali maaragwe?kwetu wali maharage ni tamu kuliko nyama,
anayapikaga mama me nayapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie maharage kwa kweli hapana, tangu utoto yalishanishinda, labda niweke nyama na mchuzi wa maharage kidunchu, au samaki na mchuzi wa maharage kidunchu. Ukiona nakula wali maharagwe wenyewe wenyewe jua kabisa sina option ya maisha siku hiyo.
Ndio maana boarding nilikuwa mkondefu wa kuwaza jinsi ya kula mandondo, Shuleni ikitokea kuna muuza mbogamboga za majani ilikuwa lazima niwe mteja wa kudumu. Bora wale ndugu zake maharage akina mbaazi, njegere, dengu, choroko na kunde lakini maharage kwangu big no!
Shuleni siku za kupikwa wali na maharagweVipi una Ulcers ama hupendi tu maharage?, mimi mbaazi,dengu,choroko duh sitaki bora ndondo tu
Hawapendi Ni chakula kinachopatikana kwa urahisi kwenye familia zetuKuanzia nakua mpaka sasa wali maharage umekuwa 1st priority kwa watoto wengi wa kibongo!,
Ila nikawaza kuwa kuku ni mtamu even samaki but maharage limekuwa kinara kwa haya yote!,
Ila ni kwanini maharage kaja kuwa nothing kwa watu wengi, hasa baada ya watu kubalehe or kuvunja ungo?
Mtu akipevuka utaskia mimi napenda nyama na bear, or chips kuku or yai lakini i believe "1st always the best"
Maana maharage still our sons and daughter favorite food!,
Nikapata maswali machache
1, Maharage na wali ni brain stimuli?
2, Kwanini maharage ni priority mno kwenye shule zetu za boarding?
3, Why maharage kwa watu wenye vidonda vya tumbo ni harmful?
Is it bcz they stop it during their childhood so some enzyme adopt it and gafla zikaachishwa doz?
( lets imagine no any stomach reaction in stomach (a hoax about food),)
Ni mimi kwani peke yangu niliyependa ubwabwa ndondo?
NB: kama hukuwahi kula ubwaba harage, basi read and quite dont comment
Acha kabisaKiporo cha wali maharage na chai ya rangi acha kabisa
Sent From Galaxy S20 Ultra
Hasahasa LA nazi