Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Zege linaraha yake kulichanganya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cha ajabu, maharage hayo hayo yakipikwa na ugali inakua ni adhabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naona hamko serious nyie hivi mnaijua wali sato au sangara na mchuzi mzito fulavi..!!
Nyie mnaopenda maharage ndo vibosile wa kujambaa na sio kunyampa[emoji28]
Kujamba ni ile puuuu! Yani umekosa ustahimilivu[emoji23][emoji28] Kunyampa inakuwa ni himilivu na stahimilivu hakina harufu ndo kina sie Wala sato... Sasa kuna wale cha yusufu hao ndo usiempenda kaja au kikulacho ki nguoni mwako [emoji23][emoji28]
Naona mnatetea gesi zenu😂Sato ni gharama wee tunajua ni tamu sanaa ila maharage chakula cha taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣,Eti utu uzima,unataka kutunyima nnMi na utu uzima huu kitu wali ndondo nazi ni balaa, huwa nakula plate kubwa inaisha.
Wadogo wangu wanatamani mama yao awapikie hivyo daily. Huwa anajisemea hawa watoto hawana gharama za matunzo ni kujaza maharage ndani basi imeishaa😀
Vipi una Ulcers ama hupendi tu maharage?, mimi mbaazi,dengu,choroko duh sitaki bora ndondo tuMie maharage kwa kweli hapana, tangu utoto yalishanishinda, labda niweke nyama na mchuzi wa maharage kidunchu, au samaki na mchuzi wa maharage kidunchu. Ukiona nakula wali maharagwe wenyewe wenyewe jua kabisa sina option ya maisha siku hiyo.
Ndio maana boarding nilikuwa mkondefu wa kuwaza jinsi ya kula mandondo, Shuleni ikitokea kuna muuza mbogamboga za majani ilikuwa lazima niwe mteja wa kudumu. Bora wale ndugu zake maharage akina mbaazi, njegere, dengu, choroko na kunde lakini maharage kwangu big no!
Mi ni kakubwa + kamekomaa🤣🤣,Eti utu uzima,unataka kutunyima nn
Naona mnatetea gesi zenu😂
Kitu sato ndani ya sahani na kachumvi kapilipili na limao pembeni 😋😋
Hamjawayi kujua tu
Utatufuka likitambi mwishowe tusikuwowe😂kwangu mimi vyakula bora ni samaki,kuku,mayai,maziwa,maharage,wali
Baraa tupu= Balaa tupu.Wali na kisamvu kilichopikwa kwa maziwa ya ngombe ni baraa tupu,jaribuni muone
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah unaanzaje kuacha raha ya dunia kama hii, chai ya moto utie mchaichai alafu kiporo cha wali na maharage, hapo hakuna mjanjaKiporo cha wali na maharage cha baridi na chai ya moto. Sijui hii kitu nitaacha lini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia nakua mpaka sasa wali maharage umekuwa 1st priority kwa watoto wengi wa kibongo!,
Ila nikawaza kuwa kuku ni mtamu even samaki but maharage limekuwa kinara kwa haya yote!,
Ila ni kwanini maharage kaja kuwa nothing kwa watu wengi, hasa baada ya watu kubalehe or kuvunja ungo?
Mtu akipevuka utaskia mimi napenda nyama na bear, or chips kuku or yai lakini i believe "1st always the best"
Maana maharage still our sons and daughter favorite food!,
Nikapata maswali machache
1, Maharage na wali ni brain stimuli?
2, Kwanini maharage ni priority mno kwenye shule zetu za boarding?
3, Why maharage kwa watu wenye vidonda vya tumbo ni harmful?
Is it bcz they stop it during their childhood so some enzyme adopt it and gafla zikaachishwa doz?
( lets imagine no any stomach reaction in stomach (a hoax about food),)
Ni mimi kwani peke yangu niliyependa ubwabwa ndondo?
NB: kama hukuwahi kula ubwaba harage, basi read and quite dont comment