Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Kuna wakati unajiuliza hii nchi watu wake wanataka nini, lakini baadae unapata majibu nchi hii watu wake wamekata tamaa kwa jinsi inavyoendeshwa, na kieleele changu nikajifanya nina uzalendo sana wa kuwamasisha wananchi wakajiandikishe niliyoyakuta nimeshangazwa sana
watu wamegoma kujiandikisha nawapo wachache wamejiandikisha nakila mmoja amefanya maamuzi yake kwa malengo Maalum
ambao hawajajiandikisha katika daftari wanasababu zao maalum zifuatazo, najiandikisha ili iweje wakati nikifika katika ofisi za Mwenyekiti wa mtaa au ofisini kwa mtendaji kata sipati huduma kama Mwananchi bali nazununua huduma hizo kwa kulipishwa malipo ya kiasi cha buku tano kwa kila muhuri nitakaopigiwa
Mkazi wa Mtaa wa Tambukareli uzunguni Dodoma anapoishi Mkuu wa Mkoa ananipandishia sauti kwa hasira yani mimi nikajiandikishe wakati Mwenyekiti wetu wa mtaa pamoja na kutulipisha mihuri na hapa mtaani tunaishi na Mkuu wa mkoa na viongozi wakubwa tu ajawai kuitisha mkutano wa kusoma mapato na matumizi yeye na wajumbe wake wote ni majizi tu nikajiandikishe ili iweje?
nilikoma zaidi baada ya kulifata kundi la bodaboda mitaa ya iliyokuwepo bar Maarufu Dodoma ya wala bata Pestana Bodaboda wa Mitaa hiyo wanasema tumejiandikisha ili tukamtoe huyu mama tumechoka nae Mwenyekiti gani anashiriki dhuruma kwa wazazi wetu hapa mtaani wamepoteza maeneo yao ya Ardhi kwa Tamaa zake, wanaongeza kuwa wanataka kuomundoa mama Mwenyekiti na wajumbe wake waliofikia kuuza eneo la makaburi, wakauza kiwanja cha Shule ya msingi kwenye fidia za waliopitia na Sgr aliandika majina ya watu waliokufa huyu tumejiandiksiha ili tuondeoke nae yeye na wajumbe wake, ayo ndio mambo ya watazania wa jiji la Dodoma