LGE2024 Kwanini watu hawajiandikishi na kwanini wanajiandikisha?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mzee wa Code

Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
61
Reaction score
91
Kuna wakati unajiuliza hii nchi watu wake wanataka nini, lakini baadae unapata majibu nchi hii watu wake wamekata tamaa kwa jinsi inavyoendeshwa, na kieleele changu nikajifanya nina uzalendo sana wa kuwamasisha wananchi wakajiandikishe niliyoyakuta nimeshangazwa sana

watu wamegoma kujiandikisha nawapo wachache wamejiandikisha nakila mmoja amefanya maamuzi yake kwa malengo Maalum

ambao hawajajiandikisha katika daftari wanasababu zao maalum zifuatazo, najiandikisha ili iweje wakati nikifika katika ofisi za Mwenyekiti wa mtaa au ofisini kwa mtendaji kata sipati huduma kama Mwananchi bali nazununua huduma hizo kwa kulipishwa malipo ya kiasi cha buku tano kwa kila muhuri nitakaopigiwa

Mkazi wa Mtaa wa Tambukareli uzunguni Dodoma anapoishi Mkuu wa Mkoa ananipandishia sauti kwa hasira yani mimi nikajiandikishe wakati Mwenyekiti wetu wa mtaa pamoja na kutulipisha mihuri na hapa mtaani tunaishi na Mkuu wa mkoa na viongozi wakubwa tu ajawai kuitisha mkutano wa kusoma mapato na matumizi yeye na wajumbe wake wote ni majizi tu nikajiandikishe ili iweje?

nilikoma zaidi baada ya kulifata kundi la bodaboda mitaa ya iliyokuwepo bar Maarufu Dodoma ya wala bata Pestana Bodaboda wa Mitaa hiyo wanasema tumejiandikisha ili tukamtoe huyu mama tumechoka nae Mwenyekiti gani anashiriki dhuruma kwa wazazi wetu hapa mtaani wamepoteza maeneo yao ya Ardhi kwa Tamaa zake, wanaongeza kuwa wanataka kuomundoa mama Mwenyekiti na wajumbe wake waliofikia kuuza eneo la makaburi, wakauza kiwanja cha Shule ya msingi kwenye fidia za waliopitia na Sgr aliandika majina ya watu waliokufa huyu tumejiandiksiha ili tuondeoke nae yeye na wajumbe wake, ayo ndio mambo ya watazania wa jiji la Dodoma
 
Acha upotoshaji wa wazi gentleman..

wapi wamegoma au ni wewe tu umetia kiburi na mihemko yako 🤣

zoezi limefikia zaid ya 70% unakuja kupotosha wazi wazi kabisa? Kweli sometimes uzushi na upotoshaji ni kipaji 🤣
 
Umeeelewa Hoja?! Katika hoja Yangu wapi nimeandika zoezi alijafanikiwa?
 
nimejibu kwanini hawajiandikishi,

wakati tayari zaidi ya 70% ya wanainchi wamejiandikisha, na hiyo 30% leo na keshokutwa inatimia bila mbambamba yoyote...

kwahiyo,
hilo la eti hawajiandikishi ni completely upotoshaji wa wazi na ni useless kabisa 🐒
 
Awamu ya sita imeamua kuipiku awamu ya tano katika utekaji, uuaji wa wapinzani na uchafuzi wa chaguzi zote. Hii ndiyo tafsiri ya 4Rs.
 
Acha upotoshaji wa wazi gentleman..

wapi wamegoma au ni wewe tu umetia kiburi na mihemko yako 🤣

zoezi limefikia zaid ya 70% unakuja kupotosha wazi wazi kabisa? Kweli sometimes uzushi na upotoshaji ni kipaji 🤣
Wananchi wameonyesha wazi wameichoka ccm. Kama mnaiba kajiibieni hizo mnazopiga nyie wenyewe. Hakuna uwezekano wananchi wataendelea kufanywa wajinga. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili kurejesha heshima ya box la kura. Mlaumini sana magufuli kwa kushindwa kula na kipofu.
 
kumbe wale zaidi ya 70% wameenda kujiandikisha kwasabb ya CCM? 🤣

halafu watakaokuja kwenye kampeni za upinzani kumbe hawakujiandikisha 🤣
 
Bado unaamini kuna watu waliolala hivyo, au ww ndii bado umelala? Wajinga tuz au wanaofaidika na chaguzi hizi za kishenzi ndio wataendelea kujitokeza kushiriki huo ukhanithi.
 
Mimi sijiandikishi kwa sababu Katiba, sheria, na kanuni za uchaguzi nchini zina mapungufu makubwa.
 
Bado unaamini kuna watu waliolala hivyo, au ww ndii bado umelala? Wajinga tuz au wanaofaidika na chaguzi hizi za kishenzi ndio wataendelea kujitokeza kushiriki huo ukhanithi.
amini Mungu wewe achana na imani potofu za kishirikina..

kaa kwa kutulia nyumbani wewe acha kubabaika, shida yako inafahamika hustahili hata kupiga kura, kwahiyo acha kumbwelambwela 🐒
 
Nyie majizi mnaamini Mungu gani? Watu wamestuka, kama mlitarajia wataendelea kujitokeza mchezee kura zao huku mkijifanya mnakubalika, basi mmeukalia.
 
Wanaojiandikisha sababu zao ni mojawapo kati ya hizi au zote
1. Wana imani kuwa kura yao inaweza kuchagua kiongozi bora
2. Wana maslahi binafsi na uchaguzi kama kugombea, au ndugu au mme au mkewe Ana gombea uchaguzi huo
3. Hawajui chochote kuhusu uchaguzi unavoendeshwa.
4. Wanaona sifa kujiandikisha na kutii matakwa ya serikali.

Wasiojiandikisha sababu zao,
1. Kutokua na imani na mchakato mzima wa uchaguzi
2. Kutokujali mambo ya msingi yanayohusu maisha yake
3. Kutokua na maslahi yoyote na uchaguzi
 
Back
Top Bottom