ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi wakulima wanalima ufuta Kisha wanalima mbaazi halafu wanamalizia na korosho sasa kila kilo kutunza mazao unapewa sh.7...imagine kwa mwaka ukatunza tani 100000 za mazao utapata jumlA ya shilingi million 70.