Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Tatizo kubwa hapo huwa ni aibu, ukiangalia uliondoka miaka zaidi ya kumi iliyopita, hujafanikiwa vile ulivyotaraji, ukipiga picha home kwenu (kijijini) wale ulowaacha wamejenga nyumba, wanamikiki mifugo ya kutosha, wanamikiki familia zao. Sasa wewe ukijicheck kwanza unaenda kufikia kwa wazazi pili mtonyo ulonao ni wa nauli tu. Na ukifika inabidi ushinde siku 2 tu ukipitiliza utakula nauli na hautakuwa na ubavu wa kupata nauli nyingine[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mojawapo ya sababu ni hizoHabari zanu wanaJf,
Kufuatana na kichwa cha habari hapo juu, nimeona niombe ufafanuzi zaidi wa jambo hili.
Nimeona watu wengi baada ya kutoka kwao na kuenda kutafuta maisha sehemu nyingine na kukosa kile walichokusudia, huamua kukaa huko bila kukumbuka hata kurudi kwa asili yao! Nawasilisha wanajamii na kazi iendelee.
Ahsanteni.
kongole sana mkuuKwa upande wangu nilikuja Jijini Dar na Begi la nguo tu ila kwasasa sasa namiliki Barber shop, Bodaboda, IST, Alafu kigamboni nina kiwanja. Hata hivyo sijarudi nyumbani kwa zaidi ya miaka sita sasa. Nimejipanga mwaka huu nirudi bush nikazindue mjengo wangu inshanllah.
Ili mtucheke?Habari zanu wanaJf,
Kufuatana na kichwa cha habari hapo juu, nimeona niombe ufafanuzi zaidi wa jambo hili.
Nimeona watu wengi baada ya kutoka kwao na kuenda kutafuta maisha sehemu nyingine na kukosa kile walichokusudia, huamua kukaa huko bila kukumbuka hata kurudi kwa asili yao! Nawasilisha wanajamii na kazi iendelee.
Ahsanteni.
Na vijijini watu wanafahamiana.Ili mtucheke?
Kwani wakikucheka wanakupunguzia ninIli mtucheke?
Masimango!Wanaanza kusema si bora ungebaki hukuhuku na kukutolea mifano ya waliofanikiwa,uliowaacha wakati unaondoka!Aaaaaa weee narudi sana eti niogope kurudi home kisa sijafanikiwa kwani nimeuwa
Kwani ulitumwa na hao watu kuja mjini? Msibebeshe vichwa vyenu mizigo mizito ya mawazo/fikira taka.Ukirudi nyumbani utaambia nini watu?
Kama mgawa rizki hajakutembelea ??kwanin wakulinganishe na mtu mwingine binadamu hapo ndipo tunapokosea jaman kila mtu na bahati yake au walitaka uwe jamabazi maana ndio kazi inayoleta mafanikio kwa harakaMasimango!Wanaanza kusema si bora ungebaki hukuhuku na kukutolea mifano ya waliofanikiwa,uliowaacha wakati unaondoka!
Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe.Kwa hiyo unataka kusema Mondi inaezekana asirudi bongo ama vipi.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app