Kwanini watu huogopa kurudi kwao wasipofanikiwa?

Kwanini watu huogopa kurudi kwao wasipofanikiwa?

Aaaaaa weee narudi sana eti niogope kurudi home kisa sijafanikiwa kwani nimeuwa
Masimango!Wanaanza kusema si bora ungebaki hukuhuku na kukutolea mifano ya waliofanikiwa,uliowaacha wakati unaondoka!
 
WANAOGOPA KURUDISHA MPIRA KWA KIPA

Muda(dk) zimesonga, ushakuwa unaongozwa moja bila, unaogopa kurudisha mpira kwa kipa aidha utapoteza muda, ama utatoa boko uchekwe, ndio mtu anapoamua kulibutua pira mbele kwa mbele huwenda atasawazisha.
 
Back
Top Bottom