K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Jun 28, 2021 Thread starter #21 Marcy said: Aaaaaa weee narudi sana eti niogope kurudi home kisa sijafanikiwa kwani nimeuwa Click to expand... Masimango!Wanaanza kusema si bora ungebaki hukuhuku na kukutolea mifano ya waliofanikiwa,uliowaacha wakati unaondoka!
Marcy said: Aaaaaa weee narudi sana eti niogope kurudi home kisa sijafanikiwa kwani nimeuwa Click to expand... Masimango!Wanaanza kusema si bora ungebaki hukuhuku na kukutolea mifano ya waliofanikiwa,uliowaacha wakati unaondoka!
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 5,960 Reaction score 9,978 Jun 28, 2021 #22 Wengine tuna principle za wagiriki, tukifika nchi kavu tunachoma moto meli.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jun 28, 2021 #23 WANAOGOPA KURUDISHA MPIRA KWA KIPA Muda(dk) zimesonga, ushakuwa unaongozwa moja bila, unaogopa kurudisha mpira kwa kipa aidha utapoteza muda, ama utatoa boko uchekwe, ndio mtu anapoamua kulibutua pira mbele kwa mbele huwenda atasawazisha.
WANAOGOPA KURUDISHA MPIRA KWA KIPA Muda(dk) zimesonga, ushakuwa unaongozwa moja bila, unaogopa kurudisha mpira kwa kipa aidha utapoteza muda, ama utatoa boko uchekwe, ndio mtu anapoamua kulibutua pira mbele kwa mbele huwenda atasawazisha.