Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Hongereni kwa kazi!
Naomba kujua kwanini watu wengi wanapenda sana kufua nguo zao za ndani bafuni? Tena wengi hufua kwa kutumia sabuni ya kuogea ambayo kimsingi imetengenezwa kwa ajili ya kuogea tu?
Wengi wao ni wanawake huwa najiuliza kwanini wasitoke nje ya bafu na kufua kwa kujinafasi na kuanika kwenye kamba na zikauka ipasavyo?
Au ndio maana wanawake wengi ni waathrika wa ugonjwa wa UTI kwa kuwa huvaa chupi zenye unyevu unyevu hasa kwa wale wanaoanikia bafuni au vyumbani kwenye mwanga hafifu?
Onyo:Huu ni mjadala huru,usije na povu wala kuuliza picha!!