UiMara nyingi sehemu wanazoanika chupi nje.. hukumbwa na kiangazi sana.
Piga picha wafulie nje na kuanika nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UiMara nyingi sehemu wanazoanika chupi nje.. hukumbwa na kiangazi sana.
Piga picha wafulie nje na kuanika nje.
Na wewe unaanika ndaniMkuu umeshaiita nguo ya ndani sasa ifuliwe na nguo za nje?
Matatizo mengine yakujitakia tuu,..kisa cha kupata fungus wakati jua hatulipii vat..ishhh!!!!
Ivi nguo za ndani zinafaa kupelekwa dry cleaner? Samahani kama nimetoka nje
Nyie ndo wadada wachafu wakulunda lunda michupi mlobridia ndani mwisho wa siku mnatoa nje na kufua kama nguo zingin mbon mi sijawahi pata fangas na kila nikioga nafua chupi yangu wanawake tuna asil ya unyevu unyevu uko chini na ukikojoa tu wakat wa kuvaa chupi mikojo inatabia ya kubaki kwenye chupi sio kila mtu ana tabia ya kujisafisha akimalza kukojoa kuna mdada nilikuwa naishi nae room moja uko skonga alikuw na tabia iyo kasha alokuw akihifadhi chupi zake lilikuw linapitish hewa sikuweza ishi nae niliham room kwa harufu za chupi huo ni uchafu na ni hatari kwa afya athar huja taratibu uwezi Zion siku moja!Matatizo mengine yakujitakia tuu,..kisa cha kupata fungus wakati jua hatulipii vat..ishhh!!!!
naona umepanic dada,kwahiyo unatufokea tunaoanika chupi zetu nje juani??maana sijaona hapo uhusiano wa uchafu na kuanika chupi nje juani,kwani ukioga ukafua chupi yako na kwenda kuanika nje kuna ubaya????????aiseee pambana tuu na hali yako naona una stress mpaka hujui unachoandika,.Nyie ndo wadada wachafu wakulunda lunda michupi mlobridia ndani mwisho wa siku mnatoa nje na kufua kama nguo zingin mbon mi sijawahi pata fangas na kila nikioga nafua chupi yangu wanawake tuna asil ya unyevu unyevu uko chini na ukikojoa tu wakat wa kuvaa chupi mikojo inatabia ya kubaki kwenye chupi sio kila mtu ana tabia ya kujisafisha akimalza kukojoa kuna mdada nilikuwa naishi nae room moja uko skonga alikuw na tabia iyo kasha alokuw akihifadhi chupi zake lilikuw linapitish hewa sikuweza ishi nae niliham room kwa harufu za chupi huo ni uchafu na ni hatari kwa afya athar huja taratibu uwezi Zion siku moja!
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Hii ni kwa wale warunda chupi hadi mwezi uishe ndo akusanye afue ila kama unavaa unafua unaanika zako juan keep it up der good job sijapanicnaona umepanic dada,kwahiyo unatufokea tunaoanika chupi zetu nje juani??maana sijaona hapo uhusiano wa uchafu na kuanika chupi nje juani,kwani ukioga ukafua chupi yako na kwenda kuanika nje kuna ubaya????????aiseee pambana tuu na hali yako naona una stress mpaka hujui unachoandika,.