Kwanini watu hupenda kufua nguo za ndani bafuni?

Kwanini watu hupenda kufua nguo za ndani bafuni?

Ikiwa mpya inaanikwa nje, ila ikishakuwa na kitobo itaishia bafuni...
 
Kuna mdada nilipanga kwenye nyumba yao alikuwa siku akiamua kufua chupi zake basi siku hiyo hakuna kamba ambayo itakuwa wazi kwa mtu mwingine kuanika nguo
 
Tatizo huwa wanakaa sana bafuni,kama ujuavyo nyumba za kupanga au nyumba za familia lakini zina wakazi wengi huoni shida hapo kuchelewesha wengine.
Kwani ukifua nje nani atashangaa chupi? Au chupi zao huwa zimegina au zina matundu?
Unajua aje kuwa anafua nguo ya ndani katika mazingira uliyoeleza hapa?
 
tatizo wengi wao hivi visitiri huwa vimechakaa sana,wanawake wengi wanaongoza kwa kuvaa chupi chakavu na zilizolika na mkojo plus kufua mara kwa mara,ndio maana inakuwa ngumu wao kuanika nje kama sisi na boxer zetu...wengi huvaa chupi mpya siku za miadi tu
 
Wengi wao ni wanawake huwa najiuliza kwanini wasitoke nje ya bafu na kufua kwa kujinafasi na kuanika kwenye kamba na zikauka ipasavyo?

Budget ya maji na muda, ukioga unapata nafasi ya kufanya usafi wako na nguo za ndani kwa maji hayohayo na sabuni hiyohiyo na muda huohuo na venue hiyohiyo
 
Ivi nguo za ndani zinafaa kupelekwa dry cleaner? Samahani kama nimetoka nje
 
kuna Kamba special bafuni za kuanika makufuli yetu
 
tatizo wengi wao hivi visitiri huwa vimechakaa sana,wanawake wengi wanaongoza kwa kuvaa chupi chakavu na zilizolika na mkojo plus kufua mara kwa mara,ndio maana inakuwa ngumu wao kuanika nje kama sisi na boxer zetu...wengi huvaa chupi mpya siku za miadi tu
Kama umefunga nenda Serena au popote kufuturu bill ije kwangu kama hujafunga kunywa supu,mtori hata kitimoto bill niachie mm.
Asante.
 
Huwa nawashangaa watu wenye tabia hii, anafulia bafuni, anaikunja kama karatasi au anatumbukiza kwenye ndoo anakwenda kuanika ndani. Ikikauka inatingwa...
 
Back
Top Bottom