Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji23][emoji23][emoji23]wanaficha "nyuki" aka matobo...wawe wanafunika na khanga teleza kwa juu kuzistiri..lolHivo ndio inavyotakiwa...Hawa wakuanika bafuni ni kwamba zimetoboka hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]wanaficha "nyuki" aka matobo...wawe wanafunika na khanga teleza kwa juu kuzistiri..lol
Nimefanya uchunguzi kwa zaidi ya miaka 20[emoji41]wewe ulijuaje wanafulia bafuni?
Mkuu Kama hajaelewa ulivomwambia kwa makini kabisa basi ni kichwa matopeMkuu umeshaiita nguo ya ndani sasa ifuliwe na nguo za nje?
Unajua aje kuwa anafua nguo ya ndani katika mazingira uliyoeleza hapa?Tatizo huwa wanakaa sana bafuni,kama ujuavyo nyumba za kupanga au nyumba za familia lakini zina wakazi wengi huoni shida hapo kuchelewesha wengine.
Kwani ukifua nje nani atashangaa chupi? Au chupi zao huwa zimegina au zina matundu?
Wengi wao ni wanawake huwa najiuliza kwanini wasitoke nje ya bafu na kufua kwa kujinafasi na kuanika kwenye kamba na zikauka ipasavyo?
Marhabaaaa,Aiseeeee.... shikamooo!!!
Kama umefunga nenda Serena au popote kufuturu bill ije kwangu kama hujafunga kunywa supu,mtori hata kitimoto bill niachie mm.tatizo wengi wao hivi visitiri huwa vimechakaa sana,wanawake wengi wanaongoza kwa kuvaa chupi chakavu na zilizolika na mkojo plus kufua mara kwa mara,ndio maana inakuwa ngumu wao kuanika nje kama sisi na boxer zetu...wengi huvaa chupi mpya siku za miadi tu
Haswaaaaa!!!.Mkuu umeshaiita nguo ya ndani sasa ifuliwe na nguo za nje?