Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,775
- 7,497
Kweli kabisa mkuuu wewe uswahilini umeishiWazazi wa uswazi huwa na tabia ya kutambiana huko kwenye vijiwe vyao. Wengi hujifanya mambo safi ama kuwasifia waume zao kuwa kila siku wakirudi wamebeba vinono. Sasa watoto ndio wajumbe wa haki wasioongopa huongea ukweli bila kujua
Jibu la mtoto ndio humaliza kelele ama ndio huwa mwanzo wa vijembe kejeli na mipasho
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app