Kweli kabisa mkuuu wewe uswahilini umeishiWazazi wa uswazi huwa na tabia ya kutambiana huko kwenye vijiwe vyao. Wengi hujifanya mambo safi ama kuwasifia waume zao kuwa kila siku wakirudi wamebeba vinono. Sasa watoto ndio wajumbe wa haki wasioongopa huongea ukweli bila kujua
Jibu la mtoto ndio humaliza kelele ama ndio huwa mwanzo wa vijembe kejeli na mipasho
Jr[emoji769]
Nikikubishia nitakuwa mwendawazimu
Ndio Maisha yetu Mshana Jr. Mimi nipo Ubungo uswahiliniNikikubishia nitakuwa mwendawazimu
Jr[emoji769]
vitu vingine hivi navionea jf π π πMara nyingi mtoto akitoka kwenda kucheza kwa jirani huuliza swali "mmekula nini kwenu? ".
Tabia hii nimeiona mara nyingi kwa wanawake pia imeshamiri sana maeneo ya uswazi na wengine huenda mbali kumuuliza mtoto kwa kumpamba ili awambie ukweli " leo mmekula nini kwenu, mtoto mzuri?
Ni Kwanini watu hupendelea kuuliza hili swali na siyo maswali mengine?
Huku uswazi vipo kwa sana ila kama umekulia na kuishi ushuani huwezi kuvijuavitu vingine hivi navionea jf π π π