Ningekuwa siyo ' Maarufu ' ungepoteza muda wako Kunisoma hapa na pengine hata kila Siku tu ' Kuchungulia ' nimendika au nimechangia nini JF?
Ivi mfano unaandika kitabu hafu Kuna manzi ulimkula chochoroni au porini. Iyo stori nayo unaweza iweka katika stori ya maisha yako
Come with facts! Njoo na data na siyo hisia zako potofu. Toa orodha ya watu maarufu angalau kumi waliondika wakafa na mimi nitakuja na orodha watu maarufu elfu moja ambao waliandika na wako hai!
Kama huo ndio umaarufu unaouzungumzia basi kila mwana jf ni maarufu,
Mbona Lemutuz bado yupo na alizindua kitabu
Kumbe ndio sababu kitabu cha Mhe. Cleopa Msuya hakitoki? Msininukuu 🤣 🤣 🤣Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi ' sana kuwepo hapa duniani. Na ukiona umezindua ' Hajakuchukua ' jua Wewe hukuwa na la maana sana katika Jamii yako husika na ameona hata ' akikuchukua ' kwenda Mbinguni hutokuwa na Faida pia huko.
Kutokana na Kuligundua hili na nikiwa bado ninayapenda Maisha yangu ' nimeahirisha ' rasmi nami Kuandika na kutaka Kukizindua Kitabu changu.
TehenanUkitoa Mkapa na Mengi, unaweza kutaja mifano mingine miwili ya waliokufa muda mfupi tu baada ya kuzindua vitabu vyao?
Kwahiyo na wewe unajiita mtu "Maarufu" kama nani vile?Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi ' sana kuwepo hapa duniani. Na ukiona umezindua ' Hajakuchukua ' jua Wewe hukuwa na la maana sana katika Jamii yako husika na ameona hata ' akikuchukua ' kwenda Mbinguni hutokuwa na Faida pia huko.
Kutokana na Kuligundua hili na nikiwa bado ninayapenda Maisha yangu ' nimeahirisha ' rasmi nami Kuandika na kutaka Kukizindua Kitabu changu.
Si ndo iyo kasema jua hakuwa na la maana sana ktk jamii yake ata akimchukua mapema atamuweka wapi sasaThe King of all Bongo social media jitu lishibalo Power Mwanakulya mobimba Le Mutuz nadhani alishaandika na kuzindua kitabu kinachoelezea maisha yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Mbona yupo tu anadunda?
Sasa yeye ana umashuhuli gani?The King of all Bongo social media jitu lishibalo Power Mwanakulya mobimba Le Mutuz nadhani alishaandika na kuzindua kitabu kinachoelezea maisha yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Mbona yupo tu anadunda?