Kila nikijaribu kuangalia viti vilivyopangwa,rangi zake zinakuwa kama zimepigwa jua miaka 20,nikiangalia na viwanja vingine naona kama kinachosemwa bilioni 30 ni usanii mtupu!
Uwanja umemeza mabilioni lakini kwa nje hauvutii kabisa,ni kama ulihitaji dressing na finishing ya kisasa lakini hakuna anayehoji.
Hivi ukiiangalia New Amaan Complex,hamuoni tofauti na aibu kwa kinachofanyika Mkapa?
Tumeangalia Rwanda uwanja kama wa ulaya, naangalia Mkapa viti ni kama wamepanga ndio za mafuta ya korie!
Plastic ya kiwango cha chini sana,hakuna art ya kupanga viti,bora hata mngepitisha maandishi meupe( viti vyeupe) kuandika jina la uwanja.
Nikiri ukweli ninasikitishwa na matumizi makubwa ya pesa ya ukarabati halafu ninachoona ni kama hakifanani na hizo pesa.