Hawana maadili
Kutoka kwa wazazi wao hawana imani kama wizi na dhulma ni dhambi hawajui kama mungu ataangamiza vizaz vyako vitangamia kwao ni rahisi kuiba na kumpelekea askofu na akabariki hapo unaona vp maendeleo yatakuja hebu kaangalieni gomabn stadium fainal yanyanga mvua inanyesha maji hayakai kaangalie masoko yaliyojengwa na yanayojengwa znz kangalie barabara za visiwani utajua maadili tanganyika hamna wakilijua hlo wataendelea chap kila mtanganyika akipata kazi lengo au agano ni kuiba raisi akingia dini tofaut lazma wa sabotage kwa wiz shame full