Chukua CHako MapemaKila nikijaribu kuangalia viti vilivyopangwa,rangi zake zinakuwa kama zimepigwa jua miaka 20,nikiangalia na viwanja vingine naona kama kinachosemwa bilioni 30 ni usanii mtupu!
Uwanja umemeza mabilioni lakini kwa nje hauvutii kabisa,ni kama ulihitaji dressing na finishing ya kisasa lakini hakuna anayehoji.
Hivi ukiiangalia New Amaan Complex,hamuoni tofauti na aibu kwa kinachofanyika Mkapa?
Tumeangalia Rwanda uwanja kama wa ulaya, naangalia Mkapa viti ni kama wamepanga ndio za mafuta ya korie!
Plastic ya kiwango cha chini sana,hakuna art ya kupanga viti,bora hata mngepitisha maandishi meupe( viti vyeupe) kuandika jina la uwanja.
Nikiri ukweli ninasikitishwa na matumizi makubwa ya pesa ya ukarabati halafu ninachoona ni kama hakifanani na hizo pesa.
Yani uwanja una MIRANGIRANGI KAMA KINYONGA.Kila nikijaribu kuangalia viti vilivyopangwa,rangi zake zinakuwa kama zimepigwa jua miaka 20,nikiangalia na viwanja vingine naona kama kinachosemwa bilioni 30 ni usanii mtupu!
Uwanja umemeza mabilioni lakini kwa nje hauvutii kabisa,ni kama ulihitaji dressing na finishing ya kisasa lakini hakuna anayehoji.
Hivi ukiiangalia New Amaan Complex,hamuoni tofauti na aibu kwa kinachofanyika Mkapa?
Tumeangalia Rwanda uwanja kama wa ulaya, naangalia Mkapa viti ni kama wamepanga ndio za mafuta ya korie!
Plastic ya kiwango cha chini sana,hakuna art ya kupanga viti,bora hata mngepitisha maandishi meupe( viti vyeupe) kuandika jina la uwanja.
Nikiri ukweli ninasikitishwa na matumizi makubwa ya pesa ya ukarabati halafu ninachoona ni kama hakifanani na hizo pesa.
We hupendi kulamba asaliNdio Viongozi wako utafanyeje sasa
Wao wenyewe wanapiga kwa nini wewe usipigeKwenye hela hakuna mwenye haya ya upigaji. Sasa ukisubiri mpaka watu wawe na aibu ndio waache kupiga pesa ya umma utashtuka nchi ikiwa imefilisika ndugu.
Watu wwnatakiwa wadhibitiwe na mamlaka kwa ukali wa sheria ndio wataacha kupiga pesa ila kama mamlaka yenyewe ndio hiyo ya kukaa tu kama zumbukuku watapiga mpaka nchi iuzwe hii
Hawana maadiliIla ukweli usemwe watu wa bara kwa upigaji wapo vyedi haswaa
Uwanja wa Amani complex uko Zanzibar na Rais wa nchi ni mzanzibar kipi kinakushangaza hapo?Kila nikijaribu kuangalia viti vilivyopangwa,rangi zake zinakuwa kama zimepigwa jua miaka 20,nikiangalia na viwanja vingine naona kama kinachosemwa bilioni 30 ni usanii mtupu!
Uwanja umemeza mabilioni lakini kwa nje hauvutii kabisa,ni kama ulihitaji dressing na finishing ya kisasa lakini hakuna anayehoji.
Hivi ukiiangalia New Amaan Complex,hamuoni tofauti na aibu kwa kinachofanyika Mkapa?
Tumeangalia Rwanda uwanja kama wa ulaya, naangalia Mkapa viti ni kama wamepanga ndio za mafuta ya korie!
Plastic ya kiwango cha chini sana,hakuna art ya kupanga viti,bora hata mngepitisha maandishi meupe( viti vyeupe) kuandika jina la uwanja.
Nikiri ukweli ninasikitishwa na matumizi makubwa ya pesa ya ukarabati halafu ninachoona ni kama hakifanani na hizo pesa.
Sasa kama lililopo madarakani ni poyoyo watu wafanye nini? Wacha wale kwa urefu wa kamba zao!Kila nikijaribu kuangalia viti vilivyopangwa,rangi zake zinakuwa kama zimepigwa jua miaka 20,nikiangalia na viwanja vingine naona kama kinachosemwa bilioni 30 ni usanii mtupu!