Kwanini watu wa bara hatuna aibu linapokuja suala la upigaji hela? Hivi Benjamin Mkapa mbona inapoteza mvuto baada ya ukarabati?

Mm ni wazenji najua unachoongelea
 
Tatizo liko kwenye sehemu ya kuchezea, (pitch), huko kwingine wana piga hela, (tumbo acid)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…