Acha uongo wewelakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya dar tu.
Wewe mwenyewe upo zakhiemAcha uongo wewe
Tuwafatilia mna lipi la ziada? Ni hao dagaa mchele au jua kali?
Jidanganye, mtoto wa town yuleMelo yupo kagera
😃😃 mnadhanigi kila mtu yuko Dar eti?Wewe mwenyewe upo zakhiem
Mbona hata sisi wa mikoani hatuna habari na Dar.Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?
Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu.
Maadimin wa JF Wapo Dar,
ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar
Melo yupo Dar,
Vyuo vikuu Bora vipo Dar
Flying over za maana zipo Dar
Uswahilini kupo Dar
Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
ni ushamba tu. wengi wa wanaoishabikia Dar utakuta ni wapangaji hata hawajajenga huko na hawana uhakika kama wataishi huko maisha yao yote. wapo tu pale kushabikia mafanikio ya wenzao. hawajui hapo Dar wengine tumeishi miaka ya kutosha tumejenga ila tumekuja kukusanya pesa mikoani na hata hatujihesabu kwamba ni wa Dar.Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?
Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu.
Maadimin wa JF Wapo Dar,
ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar
Melo yupo Dar,
Vyuo vikuu Bora vipo Dar
Flying over za maana zipo Dar
Uswahilini kupo Dar
Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
wewe ni wa kigoma au ni msukuma? Dar yenyewe kwanza ni mkoani, makao makuu ni Dodoma.Na sisi ambao hatujawahi kufika Dar, tunashauku ya kufika huko. Tunaaminishwa ni kama 'Paradise' vile, ingawa nasikia kuna joto kali sana.