Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

Asee😅😅
Kimsingi Tanzania ni Dar so lazima utake kuijua Tanzania, The rest regions ni kuta za mipaka ya Tanzania(Dar)
Huwezi kua mtu muhim nchini na hauishi Dar😅
 
Dar ndio sebule ya Tanzania..mikoani ni vyumbani. Mambo yote yako sebuleni. Tv pia hiwekwa sebuleni
 
Ka sa
Kwa sababu mkoani hakuna kinachopatikana dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…