Kwanini watu wa Dar mnakaa mnatusimanga watu wa mikoani?

Kwanini watu wa Dar mnakaa mnatusimanga watu wa mikoani?

Ndo akili zao, wakishakuwa na hvyo vitu ndo wameshamaliza. Hapo utamwambia nn kuhusu dsm.
Wengine unakuta hawana nauli za kurudi makwao wengine wanakula miguu ya kuku kama mboga
 
Back
Top Bottom