Kwanini watu wa dar ukiwambia kuwa natokea kanda ya ziwa wanakuogopa sana

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

niko huku dar lakin kinachoniacha mdomo waz ni kwamba mkiwa mnapiga story na watu wa dar

Labda kiswahili au mwonekano utakuta wanakuuliza wewe jamaa mwenyeji wa wapi UKIWAJIBU TU KUWQ NATOKEA KANDA YA ZIWA wana ogopa kinoma na kuanza kunyali vibaya wanakua wanaogopa na kuanza kuongea saut ya upole kinoma

Sasa kwanini wanatuogopa sana hawa watu aisee

LONDON BABY
 
Ile story ya kugongewa mkeo hujaimalizia
 
Kumbe wewe jamaa ni msukuma?

Nimeshaelewa kwanini huwa unapost hivi unavyopost.
 
Wanawaogopa kwa kuwa wanajua wa kutoka ukanda huo wana matatizo ya akili

Mtu mwenye akili timamu hawezi kumuua mkewe kikatili kwa kuchelewa kurudi kisimani kuteka maji...!??

Wengi wenu mna penda sifa na kujikweza hasa mkipata uongozi

Mtu mwenye akili timamu hawezi kumuua mkewe kwa kuchelewa kupika chakula....!!!?

Ni hatari sana kukaa na watu wa aina hiyo.....
 
Hadi hapo wanakuwa wameamini wewe ni malaika wao mwombezi maana mungu wao anatokea kanda iyo hiyo
 
Kuna watu kama kina The bold wanaoigwa ban kila mara mpaka wanajukwaa tunaanza kulalamika! Ila nashangaa we unaepost utumbo kila siku na mods wanakuangalia tu, sijui hawa mods akili zao zina EXPANSION JOINTS?? we ulitakiwa tu ubaki kule kule fb na vipuudhi vyenzako!
 
Waswaga ng'ombeee
Unakuta mtu anang'ombe mia mbili halafu analalia kirago kariakooo
 
Watu wa dar wanajua ninyi watu wa Kanda hiyo mna upungufu wa expansion joints kwenye vichwa vyenu
 
Naendelea kuwasoma watu wa dar na maneno yenu kama ya kwenye kanga
 
Nyie wanaume wa dar hapo juu mbona mnamichambo sana kama wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…