Kwanini watu wa Dar wanaitana "Babu"?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akiniambia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo yangu ya kimavazi naonekana kibabu mimi, nikakausha.

Sijakaa sawa kondakta huyo huyo akachukuwa abira sehemu nikasikia akisema babu kamata chuma twenda Mabibo-Ilala Boma.

Nikafika kwa mwenyeji wangu akanisalimia babu vipi?"

Kwa kifupi sipendi Hili neno" babu "mimi.

Kwa sasa niko Mabibo safarini.
 
Ni msimu wa 'babu'; kuna wakati walisema, "mwana"...!!!
 
Pole "babu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…