dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #41
Babu VIPSawa BABU nimekupata. Hayo ni mapito tu yatakwisha usijali.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu VIPSawa BABU nimekupata. Hayo ni mapito tu yatakwisha usijali.
Hahahaha HV ulikwendaga wapi mtumishMiss you sana chalii angu
Babu mjomba,"pole sana mjomba, utazoea tu babu
Kbsaa wee umenipata kwanin wananiwaisha uzeeeAnahisi binti akimwita babu anamwekea kizingiti....!
Umenikumbusha mbali tukiwa chiuo Kuna jmaa tulikuwa tunabishana Basi nikasemaa chalii angu tuliaa nikuelekeaee nddipo ugomvu ukazuka baada mm kumuita chalii akanitka nisimuite chalii Basi lile jina likaenee chuo nximaa wakimuuita chalii jmaaa apendi kbsaaArusha wanakuita Jombaa, Chalii
Nipo babu😂
Ukafika JF Twilumba nae akakusalimia "Babu niaje....?"Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akiniambia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo yangu ya kimavazi naonekana kibabu mimi, nikakausha.
Sijakaa sawa kondakta huyo huyo akachukuwa abira sehemu nikasikia akisema babu kamata chuma twenda Mabibo-Ilala Boma.
Nikafika kwa mwenyeji wangu akanisalimia babu vipi?"
Kwa sasa niko Mabibo safarini.
Eeh babu Tena nimekuwa [emoji3]Nipo babu[emoji23]
😂 😂. Piga vita kabisa mkuu.Kbsaa wee umenipata kwanin wananiwaisha uzeee
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Babu habariManeno kama mzee, mjomba, babu, kiongozi, boss, chief, kamanda na mkuu kwa dar ni kawaida sana kuitana. Vijana wanatuita FAZA!
Wajing sna watot wa dar kuitana babu[emoji23] [emoji23]. Piga vita kabisa mkuu.
Mwanzoni lengo lilikuwa ni kuitana Bob kwa kuiga slang ya black Americans maana yake ni rafiki (buddy/pal/friend)
Ila wabongo wengi kusema bob kumewashinda mwisho wa siku imekuwa babu
Oyaa vipi bob?
Umesema vyema mkuuUpo sahihi sana, American akisema Bob inasikika Babu ingawa sio kama Babu tunayotamka sisi
Kweli BABUKila mtu anaelekea huko, nafuu tuanze kuitana "babu " mapema.
Ni kweli