Kwanini watu wa Dar wanaitana "Babu"?

Kwanini watu wa Dar wanaitana "Babu"?

Arusha wanakuita Jombaa, Chalii
Umenikumbusha mbali tukiwa chiuo Kuna jmaa tulikuwa tunabishana Basi nikasemaa chalii angu tuliaa nikuelekeaee nddipo ugomvu ukazuka baada mm kumuita chalii akanitka nisimuite chalii Basi lile jina likaenee chuo nximaa wakimuuita chalii jmaaa apendi kbsaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akiniambia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo yangu ya kimavazi naonekana kibabu mimi, nikakausha.

Sijakaa sawa kondakta huyo huyo akachukuwa abira sehemu nikasikia akisema babu kamata chuma twenda Mabibo-Ilala Boma.

Nikafika kwa mwenyeji wangu akanisalimia babu vipi?"

Kwa sasa niko Mabibo safarini.
Ukafika JF Twilumba nae akakusalimia "Babu niaje....?"
 
Back
Top Bottom